Elimu
14 April 2023, 13:31
Chamwino waishukuru serikali ujenzi wa vyuo vya VETA
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) inatarajia kukamilisha ujenzi wa vyuo 25 vya Wilaya kwa kutumia nguvu kazi ya ndani yaani force account. Na Alfred Bulahya. Wananchi wilayani Chamwino Mkoani Dodoma, wameishukuru Serikali kwa kuanza ujenzi wa…
13 April 2023, 17:43
Vijana wajivunia elimu ya ufundi kutoka VETA
Wapo vijana mbalimbali ambao wameweza kunufaika na uwepo wa elimu ya ufundi VETA ambapo imewasaidia kwa kiasi kikubwa katika kujiajiri. Na Thadey Tesha Baadhi ya vijana jijini Dodoma wamesema kuwa elimu ya ufundi stadi wanayoipata kutoka VETA imekuwa msaada kwao…
13 April 2023, 17:08
Walimu watakiwa kuzuia maudhui yasiyofaa
Jiji la Dodoma limetakiwa kutenga fedha na kuongeza vifaa vya Tehama kwa shule kwa lengo la kuendelea kuboresha ujifunzaji wa wanafunzi shuleni. Na Mindi Joseph. Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Jabiri Shekimweri amewataka walimu wanaosimamia Tehama kufuatilia kwa karibu maudhui…
6 April 2023, 17:53
Wazazi Huzi watakiwa kuto katisha masomo ya watoto wao
Diwani wa kata hiyo anasema suala hilo limeendelea kulichukuliwa hatua kali kwa wazazi wanao jihusisha na vitendo hivyo na kuwafikisha katika vyombo vya sheria. Wito umetolewa kwa wazazi wa Kata ya Huzi Wilaya ya Chamwino kuachana na dhana potofu ya…
6 April 2023, 11:08
Milioni 400 zajenga shule yenye madarasa 11 Kilosa
Ujenzi wa shule ya msingi Tambukareli iliyopo jimbo la Mikumi wilayani Kilosa umetatua changamoto ya wanafunzi kutembea umbali mrefu kufika shule kitendo kilichokuwa hatarishi kwa usalama wao pindi wawapo njia ambapo iliwalazimu kuvuka barabara kuu ili kuifuata shule ilipo. “Tunaishukuru…
6 April 2023, 9:50 am
Wanafunzi 45 Waliokatishwa Masomo Wasajiliwa Kufanya Mtihani Kashato TRC
MPANDA Jumla ya wanafunzi wa kike 45 walio katishwa masomo kwa sababu mbalimbali wamesajiliwa kufanya mitihani ya kidato cha pili na cha nne katika kituo cha Kashato TRC ambapo wakidato cha pili ni 32 na kidato cha nne ni 13.…
6 April 2023, 9:18 am
Kamati ya PETS Yabaini Madudu Shule za Msingi Nsimbo
NSIMBO Kamati ya ufuatiliaji wa matumizi ya fedha za umma katika shule za msingi (PETS) halmashauri ya Nsimbo imebaini uwepo wa uchakavu wa miundombinu,ukosefu wa vyoo mashuleni na uhaba wa walimu. Akisoma taarifa ya Awali wakati akiwasilisha taarifa ya Mrejesho…
6 April 2023, 8:36 am
Kamati ya Shule za Msingi Imetakiwa Kufatilia Miradi Katika Shule za Msingi
MPANDA Kamati za shule za msingi katika halmashuri ya manispaa ya Mpanda mkoani Katavi zimetakiwa kuhakikisha zinafuatilia miradi inayofanyika katika shule za msingi. Hayo yamezungumzwa na kaimu afsa elimu msingi wa halmashuri ya manispaa ya Mpanda Victor Mwakajumlwa katika semina…
4 April 2023, 13:03
Vijana 300 kudahiliwa na Chuo cha Veta Bahi Julai 2023
Amewapongeza wasimamizi wa ujenzi wa chuo hicho kwa kutafuta ufumbuzi wa changamoto zilizopelekea chuo hicho kutokukamilika kwa wakati. Na Benard Magawa. Vijana wapoatao 300 wanatarajiwa kuanza kunufaika na elimu ya ufundi stadi veta mara tu chuo cha Veta Bahi kitakapokamilika…
27 March 2023, 17:46
Halmashauri ya jiji la Dodoma yapanga kushirikiana na wadau kuongeza ufaulu
Halmashauri ya Jiji la Dodoma lazima iwe mfano kwa kushika nafasi ya juu katika elimu na si elimu tu hata kwenye mambo mengine. Na Fred Cheti. Halmashauri ya jiji la Dodoma imepanga kushirikiana na wadau mbalimbali wa elimu jijini hapa…