Radio Tadio

Elimu

1 December 2022, 7:16 am

Bahi sokoni waiomba serikali kuongeza madara

Na; Benard Filbert. Wananchi wa wilaya ya Bahi Kata ya Bahi Sokoni wameiomba serikali kuongeza madarasa shule ya Msingi Bahi Sokoni ili kukidhi idadi ya wanafunzi waliopo katika shule hiyo. Wakizungumza na taswira yahabari wamesema ni vyema serikali ika ongeza…

29 November 2022, 8:02 pm

Wanafunzi wote mwakani mkoa wa Katavi kula chakula shuleni.

KATAVI Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko amewaagiza wakurugenzi wa mkoa, kuhakikisha wanafunzi wote watakaojiunga na msimu mpya wa masomo mwaka 2023 wanapata chakula wakiwa shuleni . Agizo hilo amelitoa wakati wa kikao cha kamati ya ushauri ya mkoa…

23 November 2022, 5:47 pm

Wafanyabiashara wametakiwa kulipa Ushuru

MPANDA Wafanyabiashara Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wametakiwa kutoa ushuru kikamilifu,ili fedha hizo ziweze kusaidia kuboresha miundombinu mbalimbali ikiwamo ya elimu na afya. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Sofia Kumbuli ambapo amesema kuwa swala…

22 November 2022, 5:58 am

Bodi ya Mikopo HESLB yaongeza bajeti ya Mikopo Elimu ya juu

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Tanzania (HESLB), Abdul-Razaq Badru amesema wameongeza bajeti ya mikopo kwa mwaka wa masomo 2022/2023 kwa asilimia 14.7 ambalo limefikia Shilingi 654 bilioni kutoka Shilingi 570 bilioni za awali. Badru ameyasema…

November 17, 2022, 6:29 pm

Wanafufunzi kidato cha nne watakiwa kuepuka udanganyifu

Wanafunzi wa kidato cha nne wilayani Kahama mkoani Shinyanga waliotahiniwa kufanya mtihani wa taifa wa kidato cha nne wametakiwa kuepuka udanganyifu kwenye chumba cha mtihani ulioanza hii leo Novemba 14, 2022. Wito huo umetolewa leo Novemba 14,2022 na mkuu wa…

17 November 2022, 3:52 pm

Watoto wafundishwe kilimo- Chikongwe

Mwenyekiti wa halimashauri ya wilaya ya ruangwa Andrew Chikongwe amewashauri watendaji WA kata na vijiji pamoja na madiwani kuweka mipango ya wanafunzi kufundishwa kilimo ili kuwajengea watoto uwezo mzuri wa kujifunza Maisha ya kujitegemea wawapo mtaani. “Watendaji nendeni mashuleni watoto…

16 November 2022, 12:36 pm

Wanafunzi watakiwa kuepuka hofu

Na; Lucy Lister. Hofu inayowakumba baadhi wanafunzi kipindi cha mitihani imetajwa kuwa ni moja ya sababu inayofanya wanafunzi wengi kufeli na wengine kukatisha masomo yao. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya walimu mkoani Dodoma wamesema kuwa hofu inaweza kumsababishia…