Radio Tadio

Elimu

31 Januari 2023, 12:04 UM

Wanafunzi wapewa elimu ya usalama barabarani

Inspekta Magazi akiwa na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mtapika wakati akiwapa elimu ya usalama barabarani kipengele cha waenda kwa miguu. Na Lawrence Kessy Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mtapika, iliyopo Kata ya Mwenge Mtapika,  Halmashauri ya Mji wa Masasi, …

31 Januari 2023, 8:33 mu

Wazazi wasiowapeleka watoto shule kukiona

Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Bwana Dunstan Kyobya amewaagiza maafisa Watendaji wa Vijiji na Kata kuwachukulia hatua za kisheria wazazi ambao watoto wao hawajaripoti shuleni. Bwana kyobya ametoa agizo hilo wakati akizungumza na watumishi wa umma,viongozi wa dini pamoja na…

30 Januari 2023, 12:31 UM

Shule ya Msingi Mkuti B yapata Viongozi wapya

Shule ya Msingi Mkuti “B” Wilayani Masasi, imefanya Mkutano wake Mkuu wa Kwanza wa Shule hiyo na kuwachaguwa viongozi mbalimbali wa shule pamoja na kujadili ajenda za mipango ya maendeleo ya shule. Mkutano huo ambao umefanyika Shuleni hapo mapema wiki…

30 Januari 2023, 9:28 mu

Wahariri wa Radio Jamii wapigwa msasa

Wahariri na waandishi wa vyombo vya habari vilivyopo chini ya Mtandao wa Redio Jamii Tanzania TADIO wameanza mafunzo ya namna ya kuandaa kuhariri na kuzituma habari kupitia tovuti ya mtandao huo. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo yaliyoanza Jan…

23 Januari 2023, 12:31 um

Mila na desturi zatajwa kuwa chanzo cha Mimba za utotoni

Na; Alfred Bulahya. Licha ya Halmashauri ya Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma imefanikiwa kupunguza idadi ya mimba kutoka 39 mwaka 2020 hadi 17 kwa mwaka 2022. kwa Mujibu wa Afisa elimu sekondari wilaya ya Bahi bi Marry Chakupewa, inaelezwa katika…