Radio Tadio

Elimu

17 March 2023, 4:04 pm

Wazazi waliokatisha watoto masomo kukamatwa

Baadhi ya wazazi wanadai elimu zote mbili zina umuhimu huku wengine wakibainisha kuwa  walimu pia wanachangia kuongeza kwa  utoro shuleni. Na Nizar Khalfan. Zoezi la ukamataji la wazazi wa wanafunzi watoro limeanza wilayani kondoa ambapo zaidi ya wazazi kumi na…

17 March 2023, 2:59 pm

WANAWAKE WASHIRIKI KWENE NGAZI ZA MAAMUZI , KISWAHILI CHAAJWA.

NA KHADIJA RASHID, PEMBA. “KISWAHILI kimenifanya niwe maarufu ndani na nje ya nchi yangu. Lugha hii niliipenda tangu nikizoma shule. Licha ya umaarufu nilioupata kupitia Kiswahili, lugha hii imechangia maendeleo yangu binafsi na taifa kwa ujumla.” Ni kauli ya Consalata…

15 March 2023, 6:06 pm

Wazazi watakiwa kuhimiza watoto kusoma

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amewataka wazazi na walezi kutumia fursa za vyuo na taasisi mbalimbali za elimu ya juu zilizopo mkoani Dodoma. Na Fred Cheti. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amewataka wazazi na walezi kutumia…

15 March 2023, 12:05 pm

Kamanda Makame Awaasa Wananchi Kuishi Katika Misingi ya Dini.

KATAVI Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa katavi Ali Makame Hamadi amewataka wananchi kuishi katika misingi na maadili ya dini ili kuondokana na matukio kiuhalifu. Ameyasema hayo wakati akishiriki ibada katika kanisa la New harvest kijiji cha songambele Halmshauri…

14 March 2023, 1:14 pm

Wanafunzi watakao faulu kununuliwa mahitaji yote ya msingi Kongwa

Halmashauri ya wilaya ya Kongwa kujipanga kuwanunulia mahitaji yote ya msingi wanafunzi wenye wazazi wasiojiweza kiuchumi watakaofaulu. Na Alfred Bulahya. Halmashauri ya wilaya ya Kongwa imepanga kuanza kuwanunulia mahitaji yote ya msingi wanafunzi wenye wazazi wasiojiweza kiuchumi watakaofaulu na kuchaguliwa…

7 March 2023, 6:46 pm

Ukosefu wa shule wasababisha ndoa za utotoni

Kukosekana kwa shule ya msingi kijiji cha Kaza roho Kata ya Manzase Wilaya ya Chamwino imesababisha wanafunzi kuacha masomo na kuamua kuolewa katika Umri mdogo. Na Victor Chigwada, Imeelezwa kuwa changamoto ya kukosekana kwa shule ya msingi kijiji cha Kaza…