Radio Tadio

Elimu

10 August 2023, 7:41 am

Mtelela: Wakulima tumieni teknolojia kwenye kilimo

Wakulima kutumia teknolojia ili kukuza kilimo kama vile kujua ukubwa wa mashamba yao. Na Adelinus Banenwa Akifungua kikao kilichowakutanisha wataalam wa halmashauri zote mbili za wilaya ya Bunda katibu tawala wilaya ya Bunda Salumu Mtelela amewataka wakulima kutumia teknolojia ili…

9 August 2023, 2:49 pm

Tadio yawapiga msasa waandishi wa habari Zanzibar

Waandishi wa habari Zanzibar wametakiwa kutumia mtandao wa Radio Tadio ili kubadilishana habari. Na Mary Julius Mhariri wa Radio Tadio Tanzania Hilali Ruhundwa amewataka waandishi wa habari zanzibar kuitumia fursa ya mtandao wa radio tadio  katika kuchapisha habari ili kuweza…

9 August 2023, 1:59 pm

Wazazi, walezi Tumbatu watakiwa kutoa ushirikiano kwa walimu

Uwepo wa mashirikiano kati ya wazazi na walezi kutaongeza idadi ya ufaulu. Na Latifa Ali Wazazi na walezi wa wanafunzi wanaosoma katika  skuli ya msingi “B” kisiwani tumbatu wameatakiwa  kushirikiana na walimu wa skuli hiyo  ili kuhakikisha  wanafunzi wanasoma  na…

9 August 2023, 8:32 am

Redio za kijamii Zanzibar kupelekwa kidijitali

Radio za kijamii Zanzibar wamepatiwa mafunzo maalum ya kuweka habari na vipindi kwenye mtandao (Radio Portal) ili kusomwa na kusikika duniani kote. Waandishi wa habari redio za kijamii wametakiwa kutumia mtandao ili kukuza taaluma na kuongeza wasomaji na wasikilizaji. Wito…

9 August 2023, 7:03 am

Lugonesi, Kasekese wajengewa uwezo

TANGANYIKA Kamati za shule ya msingi Lugonesi na shule ya msingi Kasekese wilayani Tanganyika mkoani Katavi zimejengewa uwezo wa namna ya kusimamia Rasilimali za shule pamoja na utolewaji wa elimu bora kwa wanafunzi. Akizungumza katika kikao cha mafunzo hayo afisa…

7 August 2023, 12:48 pm

Maswa: Walimu Simiyu kunufaika na mafunzo ya elimu jumuishi

Wizara ya Elimu,Sayansi na Technolojia  kupitia Taasisi ya Elimu Nchini imewawezesha Walimu wapatao (50) kutoka shule za msingi 50 kupata mafunzo ya ufundishaji na ujifunzaji jumuishi. Na,Alex Sayi. Mafunzo hayo yamefanyika kwa muda wa siku 4 ukumbi wa Halmashauri ya…

7 August 2023, 11:14 am

RC Mattar aiomba Jukuruza kutoa elimu dhidi ya rushwa

Baada ya wajumbe wa Jumuiya ya Kupinga Rushwa na Uhujumu Uchumi JUKURUZA kufika ofisi Mkoa Kusini Pemba kujitambulisha, Mkuu wa Mkoa huo Mattar Zahor Masoud ameiomba jumuiya hiyo kutoa elimu kwa wananchi ili kuondoa rushwa nchini. Na Amina Masoud. Mkuu…