Radio Tadio

Elimu

21 Oktoba 2025, 16:52

Ole wao watakaofanya fujo october 29 –RC Sendiga

Mkuu wa mkoa wa manyara, Queen Sendiga, amewaonya wananchi mkoani Manyara  kuepuka vitendo vyovyote vinayoashiria  vurugu, uchochezi au uvunjifu wa amani kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika oktoba 29 mwaka huu. Na Mzidalfa Zaid Sendiga ameyasema hayo leo alipokuwa akizungumza na…

20 Oktoba 2025, 16:35

Wananchi Babati watakiwa kujitokeza kupiga kura October 29

Mkuu wa wilaya ya babati Emmanuela kaganda amewataka wananchi kujitokeza October 29 kupiga kura na kumchagua Kiongozi wanaemtaka atakaeleta maendeleo amani na utulivu. Na Mzidalfa Zaid Kaganda ametoa kauli hiyo Leo wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake, amesema…

14 Oktoba 2025, 5:07 um

Wiki ya nenda kwa usalama barabarani, kupunguza ajali

Na Isack Dickson Katika kukabiliana na takwimu za vifo zaidi ya milioni 1.3 vinavyotokana na ajali za barabarani duniani kila mwaka, Jeshi la Polisi nchini, kupitia kitengo cha usalama barabarani, limesisitiza kwa madereva wote kuhakikisha vyombo vyao vinakaguliwa kabla ya…

14 Oktoba 2025, 10:02 mu

Viongozi wa Dini kuhimiza amani uchaguzi mkuu

Wakati sahihi kwa viongozi wa dini kutoa ujumbe unaowaunganisha Watanzania, badala ya maneno yanayoweza kuchochea chuki au migawanyiko. Na Ayoub Sanga Waandishi wa habari na viongozi wa dini Mkoani Iringa wametakiwa kutumia nafasi zao kuhimiza amani na umoja wa kitaifa,…

13 Oktoba 2025, 13:05

TAKUKURU Kupambana na rushwa kuelekea Uchaguzi Mkuu

Karibu msikilizaji katika makala maalum inayozungumzia udhibiti wa rushwa katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu ambapo Taaisisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU inaendelea kutoa elimu kwa wananchi  kuepuka rushwa  kabla,wakati na baada ya uchaguzi. Karibu usikilize makala

27/08/2025, 16:45

Wakulima wadai kupunjwa na wanunuzi Nyawilimilwa

Uchumi wa wananchi wa Nyawilimilwa unategemea kilimo hivyo mikakati madhubuti inatakiwa kuwawezesha wananchi. Na Mrisho Sadick: Wakulima wa mazao ya mpunga, mihogo na mahindi katika Kijiji cha Nyawilimilwa wilaya ya Geita Mkoani Geita wamedai kukabiliwa na changamoto za kupunjwa na…

25/08/2025, 16:17

Wananchi Chunga wataka suluhisho la haraka kwa tatizo la taka

Na Zulfa Shaibu Mkanjaluka. Mrundikano wa taka katika Shehia ya Chunga, Zanzibar, umeibuka kuwa changamoto kubwa kwa wakazi wa eneo hilo, wakihusisha hali hiyo na ongezeko la maradhi ya milipuko kama kipindupindu na mazingira machafu kwa ujumla.Katika mahojiano na Zenji…

27 Juni 2025, 09:50

Wazee wamchangia aliyekuwa diwani kuchukua fomu tena

“kikao hicho siyo kampeni badala yake ni kumshukuru kiongozi huyo kwa yale aliyoyafanya” Na Adelinus Banenwa Baraza la wazee wa chama cha mapinduzi kata ya Nyasura Halmashauri ya mji wa Bunda mkoani Mara wamemkabidhi fedha kiasi cha shilingi elfu hamsini…

29 Mei 2025, 12:19 um

UVCCM Bariadi yarudisha furaha kwa wagonjwa

‘‘Ni kweli bado jamii yetu inakabiliwa na changamoto mbalimbali zipo familia zenye uwezo wa kiuchumi lakini hizi ambazo hazina uwezo wa kimaisha tunawezaje kuzisaidia ili nazo ziweze kupata furaha hili ni jambo tunaweza kulifanya tu endapo watu wenye uwezo mkubwa…