Radio Tadio

Elimu

11 October 2023, 9:43 am

Serikali kuendelea kushirikiana na wadau binafsi kuboresha elimu

Serikali itaendelea kushirikiana kwa karibu na Taasisi binafsi katika kuboresha Mfumo wa Elimu nchini. Na Thadei Tesha. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda  amesema Serikali itaendelea kushirikiana kwa karibu na Taasisi binafsi katika kuboresha Mfumo wa…

7 October 2023, 12:56 pm

94 kati ya 154 wahitimu elimu ya msingi Tingirima

Na Taro M. Mujora Shule ya msingi Tingirima iliyopo halmashauri ya wilaya ya Bunda mkoani Mara imefanya mahafali ya 42 ya kuwaaga wanafunzi waliohitimu elimu ya msingi shuleni hapo. Mahafali hayo yamefanyika jana Oktoba 6,2023 shuleni hapo huku mgeni rasmi…

October 7, 2023, 9:41 am

DC Samweli Sweda aagiza Fundi kuongeza Kasi ujenzi wa Bwalo

katika kuhakikisha miradi ya maendeleo inatekelezwa kwa wakati mkuu wa wilaya ya Makete Mh:Samweli Sweda ametembelea miradi inayotekelezwa katika maeneo yote ya Wilaya ya makete Huku akitoa maagizo kwa watendaji na mafundi kukamilisha miradi hiyo kwa wakati na Aldo Sanga…

October 7, 2023, 9:31 am

Wahitim 34 watunukiwa vyeti shule ya sekondari Kitulo

Kuelekea mtihani wa Taifa wa kumaliza elimu ya sekondari jumla ya wanafunzai 34 wametunukiwa vyeti vya kuhitimu elimu ya sekondari katika shule ya sekondari Kitulo iliyopo Makete Njombe na Aldo Sanga Jumla ya wanafunzi 34 wa metunukiwa cheti cha kuhitim…

6 October 2023, 2:35 pm

Wanafunzi Pemba watakiwa kuitumia mitandao vizuri

Shirika la Save the Children Tanzania limetoa mafunzo kwa wanafunzi kisiwani pemba kwa lengo la kuwawezesha kupelekea ujumbe wao kwa viongozi wenye mamlaka kupitia jukwaa hilo la mikutano ya mtandaoni. Na Is-haka Mohammed. Kuwepo kwa jukwaa la kuwasiliana mtandaoni kumeelezwa…

6 October 2023, 8:39 am

Sekondari Kabasa yapigwa jeki

Mahafali ya kidato cha nne shule ya sekondari Kabasa, Kambarage Wasira akiwa mgeni rasmi atoa milioni moja (1,000,000/=Tsh) kukabili sehemu ya changamoto katika shule hiyo. Na Edward Lucas Ikiwa ni wiki moja imepita tangu Kambarage ashiriki mahafali ya darasa la…