Dini
24 October 2023, 15:54
Kanisa la Moravian Tanzania kupata maaskofu wawili 2023
Kanisa la Moravian kupitia taratibu zake linatarajia kupata maaskofu wawili ili kuendeleza huduma za kiroho katika dhehebu hilo. Na Deus Mellah Wakristo wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi na jimbo la kaskazini wametakiwa kuendelea kumuomba Mungu ili…
23 October 2023, 13:25
Waumini watakiwa kuachana na tabia za unafiki ndani ya dini zao
Mtu anapoamini ni ishara ya kufanya vitu vingi kwenye maisha ndivyo ilivyo pia mtu akiamini katika imani ya dini anapaswa kuishi maisha kulingana na imani ya dini yake, kwa wakristo wanaaswa kuishi maisha kama aliyoishi Yesu akiwa duniani. Na Hobokela…
11 October 2023, 10:52
Waumini wa dini watakiwa kuwasikiliza na kuwaheshimu viongozi wa serikali ngazi…
Kuwa muumini wa dini fulani hakuondoi wewe kujitenga na mamlaka za Dunia kwani katika Dunia kuna nchi na katika nchi zipo mamlaka ambazo zimewekwa ili kuongoza raia wake kwa mjibu wa katiba za nchi zao,hata vitabu vya dini vimekuwa na…
10 October 2023, 07:06
Katibu Mkuu Moravian Mwakilasa,Vijana acheni anasa mtumikeni Mungu
Ili kuhakikisha jamii inakuwa na kizazi kilicho bora kuna kuwa hakuna budi kuanza kuwajenga vijana kulingana na rika zao,kanisa la Moravian limekuwa na utaratibu mzuri wa kuwakutanisha vijana kutoka shirika zake mbalimbali lengo likiwa ni kujipa tathini ya mwenendo wa…
9 October 2023, 8:36 pm
Viongozi watakiwa kuacha kutumia nguvu za giza
Wito huo umetolewa na Askofu wa Kanisa la Pentecoste Christian International Thomas Kiula wakati wa tukio la Uzinduzi wa kanisa jipya na kumsimika Uchungaji wa kanisa hilo linalopatikana mtaa Ndachi kata ya Mnadani Dodoma Mjini. Na Seleman Kodima. Viongozi wametakiwa…
2 October 2023, 18:22
Viongozi wa dini, wananchi watakiwa kuliombea taifa
Watanzania na waumini wa dini wametakiwa kuliombea taifa na kumwombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuhakikisha nchi inakuwa ya amani na utulivu. Na Samwel Mpogole Watanzania na waumini wa dini ya kikristo wametakiwa kuliombea taifa na Rais…
27 September 2023, 9:15 pm
Rais Mwinyi awaongoza Waislamu kwenye Hawli ya kutimiza miaka 100 tokea kufariki…
Na Ali Khamis – Zanzibar Rais wa Zanzibar Dkt Hussein Ali Mwinyi ametoa ujumbe wa  kushikamana na kupendana alipojumuika na waumini wa kiislam katika hafla ya hawli ya kutimiza miaka 100 tokea kufariki Sheikh Sayd Oamr Qullatein, shughuli  iliyoandaliwa na…
26 September 2023, 5:47 pm
Buswelu: waumini endeleeni kupinga matendo maovu kwenye jamii
Na Veronica Mabwile – KataviWaumini wa madhehebu mbalimbali Mkoani Katavi wameombwa kuendelea kupinga matendo maovu yanaojitokeza katika jamii ikiwemo kamchape na lambalamba ili kuendelea kulinda amani iliyopo . Wito huo umetolewa na mkuu wa wilaya ya Tanganyika Onesmo Buswelu kwa…
26 September 2023, 10:24
Biblia ya Agano Jipya yazinduliwa kwa lugha ya Kisafwa Mbeya
Tanzania ina makabila zaidi ya 120 na kila kabila lina mila na destri zake, katika kudumisha utamaduni, Umoja wa kabila la Wasafwa Mbeya umeandika Biblia ya Agano la Jipya kwa lugha ya Kisafwa. Na Josea Sinkala Umoja wa Maendeleo ya…
22 September 2023, 13:10
Viongozi wa dini wajitosa kuokoa ndoa
Unapoingia katika ndoa au mahusiano huwezi kufikiria hata kidogo kwamba asilimia kubwa ya ndoa au mahusiano hayo kufeli, ndoa au mahusiano yanaweza kufeli kwa sababu nyingi na iwapo ndoa yako ilianguka na kufeli sababu kubwa yaweza kuwa na tofauti nyingine.…