Dini
14 November 2023, 19:30
Wakristo watakiwa kuzalisha mali ili kujiongezea uchumi kwenye familia zao na ka…
Na Hobokela Lwinga Wakristo wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika uzalishaji mali ili kuweza kuwa mfano na ushuhuda juu ya Mungu wanayemtumikia. Wito huo umetolewa na katibu wa idara ya uwakili kanisa la Moravian Tanzania jimbo la kusini Magharibi Mch.…
November 12, 2023, 2:04 am
kibonge wa Yesu kaja kivingine Tanzania
Mtumishi wa Mungu na mwimbaji wa Nyimbo za Injili Juma Kyando alimaarufu kwa Jina la Kibonge wa Yesu,ameachia Nyimbo mbili usiku wa kuamukia tarehe 11Nov 2023 ikiwa ni siku ya kumbukizi ya Siku yake ya kuzaliwa na Aldo Sanga Mwanamuziki…
8 November 2023, 14:57
Mwl. Haule: Kila mtu ana wajibu wa kuwaombea viongozi wa serikali
Jamii nchini imetakiwa kuiombea serikali kuanzia ngazi ya chini hadi ya juu ili ili iendelee kuongoza nchi vizuri na amani iendelee kutawala. Na Deus Mellah Wito huo umetolewa na mwalimu wa neno la Mungu Baraka Haule wakati akizungumza na kituo…
7 November 2023, 12:25
Wanavyuo washauriwa kujiajiri na kuondokana na makundi maovu
Vijana wa rika mbalimbali wanaomaliza masomo yao kwenye vyuo tofauti nchini wametakiwa kutojiingiza katika makundi yasiyofaa kwani yanaweza kukatisha ndoto zao za baadaye. Na Deus Mellah Wito huo umetolewa na msimamizi wa miradi kanisa la Moravian jimbo la Kusini Magharibi…
6 November 2023, 15:09
Askofu Mteule Moravian KMT-JKM awataka waumini kuacha makundi
Ni siku tano tu zimepita kanisa la Moravian Tanzania jimbo la kusini magharibi limefanya uchaguzi wa kumpata askofu,na katika uchaguzi huo mchungaji robart pangani ndiye ambaye alichaguliwa katika nafasi hiyo. Na Hobokela Lwinga Askofu mteule na mwenyekiti wa kanisa la…
6 November 2023, 14:33
Wakristo watakiwa kutumia maandiko ya biblia kukemea ukatili kwenye jamii
Katika kukabiliana na vitendo vya ukatili kwenye jamii wanachama wa chama cha Biblia tawi la kigoma wamesema chama hicho kimekuwa saada kwa kutoa elimu kwa jamii ili kuwa na hofu ya mungu. Na, Lucas Hoha Wakiristo mkoani Kigoma wameshauriwa kuzingatia…
2 November 2023, 16:11
Hatimaye Moravian jimbo la Kusini Magharibi lapata askofu
Miongoni mwa matukio ambayo yalikuwa yakisubiriwa kwa waumini wa kanisa la Moravian ni hili la uchaguzi wa askofu ambaye alikuwa anasubiriwa kuchukua nafasi iliyoachwa baada ya askofu Alinikisa Cheyo kustaafu. Na Hobokela Lwinga Mkutano mkuu wa sinodi ya dharula ya…
30 October 2023, 9:11 pm
KKKT Dayosisi ya Karagwe inashirikiana vyema na Serikali Kutoa huduma za kijamii
Zaidi ya shilingi milion 27 zimekusanywa katika harambee ya ujenzi wa kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania Dayosisi ya Karagwe, mtaa wa Nyabwegira usharika wa Nyabwegira uliopo katika Jimbo la Lukajange. Na Jovinus Ezekiel Karagwe Serikali wilayani Karagwe imepongeza jitihada…
30 October 2023, 9:10 pm
Azua taharuki akidhaniwa kuwa mchawi kanisani
Matukio ya watu kudhaniwa kuwa wachawi yamezidi kushika kasi wilayani Sengerema ambapo mwanzoni mwa mwaka huu 2023 wanawake wanne waliodhaniwa kuwa ni wachawi walikamatwa eneo la Mwabaruhi mjini Sengerema. Na:Emmanuel Twimanye. Katika hali isiyokuwa ya kawaida , Mwanamke anayekadiriwa kuwa…
October 28, 2023, 3:52 pm
Askofu Shoo awataka waumini Makete kuungana ujenzi wa kanisa
Askofu mkuu wa wa kanisa la kilutheri Tanzania Fredrick Shoo pamoja na askofu mkuu wa dayosisi ya kusini ya kati wilson sanga kwenye uwekaji wa jiwe la msingi.picha na Rose njinile Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu, unaweza kusema hivyo…