Radio Tadio

Dini

23 December 2023, 4:58 pm

Mkesha mkubwa kitaifa dua maalum kufanyika Dodoma

Mkesha mkubwa kitaifa dua maalum unatarajiwa kufanyika usiku  December 31 katika viwanja vya Nyerere square jijini Dodoma ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan. Na Mariam Kasawa. Wakazi jijini Dodoma wametakiwa…

23 December 2023, 16:01

Kyela: Bablon kuishi na maono ya wototo yatima

Mdau wa maendeleo wilayani Kyela Bablon Mwakyambile ametoa misaada mbalimbali ikiwemo fedha taslimu shilingi laki tano kwa watoto yatima 36 huku akiahidi kuendelea kuwakumbuka katika mambo mengine. Na James Mwakyembe Ibada ya kuwatunza watoto yatima 36 imefanyika katika kanisa la…

13 December 2023, 1:37 pm

Kanisa kushiriki ujenzi wa makaravati Maswa

Zaidi ya  Sh.Mil,15 kutumika kufanya Ujenzi wa Karavati(3)kwenye baadhi ya mitaa  Wilayani Maswa Mkoani Simiyu. Na Alex Sayi Kanisa la Repentence Pentacost Mission Church of Tanzania (RPMT) limekabidhi karavati moja lenye gharama ya  zaidi ya Sh.Mil 5 kati ya madaraja…

10 December 2023, 10:27 pm

Askofu Dkt. Bagonza atoa ujumbe mzito kwa wachungaji wapya

Na Eliud Henry Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Karagwe Mchungaji Dkt. Benson Kalikawe Bagonza amewataka wachungaji waliobarikiwa kutofanya maamuzi wakiwa na Hasira na kuwasisitiza kusikia kile ambacho wengine hawawezi kusikia. Amesema hayo Desemba 10 mwaka…

2 December 2023, 21:47

Katule: Msikae kinyonge kanisa la Moravian ni kubwa

Wahitimu wa mafunzo ya uchungaji katika chuo cha biblia cha kanisa la kiinjiri Moraviani Tanzania hapa wilayani Kyela wametakiwa kumtegemea Mungu katika kazi yao mpya ya utumishi. Na Nsangatii Mwakipesile Mahafari ya kumi na tisa ya uchungaji ya chuo cha…

23 November 2023, 17:44

Tumieni fursa vyuoni kuwa viongozi wa badae

Na Ezra Mwilwa Vijana Waliopo vyuoni wameshauriwa kujianda na masuala ya uongozi katika nyanja Mbalimbali za kijamii. Wito huo umetolewa na Mch.Agines Njeyo katika semina iliyoandaliwa na Wanafunzi wa Makanisa ya CCT Chuo kikuu Teofilo Kisanja ambapo amesema katika nyakati hizi vijana…

21 November 2023, 19:34

Askofu Panja: Tendeni mema ili mkumbukwe

Na Hobokela Lwinga Askofu mteule wa kanisa la Moravian Tanzania jimbo la kusini magharibi mch.Robart Pangani amewataka wananchi nchini kutunza amani iliyopo kuanzia kwenye maeneo yao wanayoishi  badala ya kuwa wavunjifu wa amani. Hayo ameyasema katika ibada ya msiba wa…

17 November 2023, 21:48

Mchungaji kanisa la Moravian afariki Dunia

Na Hobokela Lwinga Mchungaji wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini Magharibi ushirika wa Meta Mbeya Sifael Mwashibanda amefariki Dunia jijini Dar es salaam alikokuwa anapatiwa matibabu. Akitoa taarifa ya kifo cha mch.Sifael Mwashibanda, Katibu mkuu wa Kanisa la…

17 November 2023, 21:30

Askofu ashindwa kuchaguliwa kisa theluthi

Na Hobokela Lwinga Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kaskazini (Arusha)limefanikiwa kufanya mkutano mkuu wa kanisa “Sinodi”iliyokuwa na jukumu la kupata viongozi wapya ikiwemo nafasi ya askofu katika Jimbo hilo. Katika uchaguzi huo nafasi ya askofu imeshindikana kumpata askofu kutokana…