Radio Tadio

Biashara

10 Febuari 2023, 12:29 um

Wafanyabiashara Wapongeza Ukaguzi wa Mizani

KATAVI Wafanyabiashara Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wamepongeza zoezi la ukaguzi wa mizani Wanazotumia katika biashara. Wakizungumza na Mpanda radio Fm wafanyabiashara hao Wakati wa zoezi la ukaguzi katika ofisi za kata ya Makanyagio likiendelea wamesema zoezi la ukaguzi wa…

7 Febuari 2023, 12:39 um

Wafanyabiashara walalamikia hali ya soko Ihumwa

Wafanyabiashara katika soko la ihumwa jijini dodoma wameiomba serikali kutengeneza miundombinu ya soko hilo kutokana na eneo wanalotumia kwa sasa kutokutosheleza mahitaji. Na Thadei Tesha. Ni katika soko la ihumwa jijini dodoma ambapo baadhi ya wafanyabiashara katika soko hili wanasema…

6 Febuari 2023, 10:33 mu

Serikali kuimarisha sheria ya kodi

Tunaomba kuboreshwe kwa baadhi ya sheria za kodi hapa Nchini ambazo zinawabana wafanyabiashara. Na Joyce Buganda Serikali imeombwa kuendelea  kuzingatia upya  sheria za kodi ili kuimarisha uzalendo  na ulipaji kodi wa hiari. Hayo yamezungumzwa na naibu katibu Mkuu wa  Jumuiya…

3 Febuari 2023, 12:35 um

Vijana jijini Dodoma watakiwa kushiriki katika fursa

Vijana jijini dodoma wametakiwa kushiriki katika fursa mbalimbali zinazowazunguka na kuacha kuona aibu kufanya shughuli hizo ili waweze kupata kipato na kurahisisha shughuli za maisha. Na Thadei Tesha Hayo yamesemwa na baadhi ya Vijana ambao wanajishughulisha na shughuli ya kukaanga…

11 Disemba 2022, 6:51 um

HOFU YA JANGA LA NJAA WAKULIMA WATAHADHARISHWA RUANGWA

Wakulima wabnaohudumiwa na chama kikuu cha Ushirika RUNALI kinachohudumu katika wilaya za Ruangwa,Nachingwea na Liwale mkoani Lindi, wametakiwa kutumia pesa zao za korosho kununua chakula na kuhifadhi kutokna na uwapo wa dalili ya janga la njaa lililosabishwa na ukame kwa…

16 Novemba 2022, 12:19 um

Ukubwa wa riba kikwazo kwa wakopaji mikopo

Na; Eva Enock. Imeelezwa kuwa ukubwa wa riba pamoja na elimu juu ya matumizi sahihi ya fedha za mikopo ni miongoni mwa sababu zinazopelekea baadhi ya watu kushindwa kurejesha mikopo. Hayo yameelezwa na baadhi ya wananchi jijini Dodoma wakati wakizungumza…