Radio Tadio

Ajali

29 Disemba 2022, 7:55 um

Afariki dunia baada ya kusombwa na maji akivuka mto

Na Mrisho Sadick : Mtu mmoja aliefahamika kwa jina la Benjamini John mwenye umri wa miaka (30) Mkazi wa Kata ya Kasamwa Halmashauri ya mji wa Geita amefariki dunia baada ya kusombwa na maji wakati akijaribu kuvuka kwenye mto kwenda…

Mei 25, 2022, 11:00 mu

BASI LA RUKSA CLASS LAUA WATU WATATU NA KUJERUHI WANNE KAHAMA

Watu watatu wamefariki dunia na wengine wanne wamejeruhiwa  katika ajali ya Basi la Abiria kampuni ya RUKSA CLASS baada ya kupinduka katika Kijiji cha Kayenze halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga. Akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo Kamanda wa jeshi…

22 Aprili 2021, 3:46 um

Rais Samia akusudia kukutana na viongozi wa kisiasa

Na; Mariam Kasawa. Rais Samia ameliambia Bunge kuwa anapanga kukutana na viongozi wa kisiasa ili kwa pamoja waweke msimamo wa kuendesha shughuli za kisiasa. Rais Samia amesema hayo wakati akitaja namna anavyopanga kuboresha mazingira ya uhuru na demokrasia nchini Tanzania.…

22 Aprili 2021, 8:39 mu

Watanzania wanatarajia nini kwenye hotuba ya Rais Samia ?

Na; Mariam Kasawa Rais Samia Suluhu Hassan leo anatarajiwa kuhutubia Bunge  katika hotuba itakayotoa mwelekeo wa nini hasa amepanga kutimiza katika muhula wake wa kwanza madarakani. Hii itakuwa ni mara yake ya kwanza kufanya hivyo tangu aapishwe kuwa Rais Machi…