Radio Tadio

Afya

11 November 2022, 5:13 am

Idadi Watoto wanaozaliwa na Sikoseli nchini inatisha

Takwimu zinaonesha kuwa, watoto takribani elfu kumi na moja huzaliwa na ugonjwa wa Sikoseli kila mwaka nchini Tanzania hali ambayo imekuwa tishio kwa Taifa la baadae. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa huduma za Tiba Prof. Paschal Ruggajo wakati wa uzinduzi…

29 October 2022, 6:23 pm

Mila Kandamizi Zatajwa kuchangia Vifo vitokanavyo na Uzazi Wilayani Mas…

Imeelezwa  kuwa  Mila  kandamizi  kwa   baadhi  ya  Jamii  ikiwemo  kabila  la  Wasukuma  zinachangia  vifo vitokanavyo  na  Uzazi  kwa  Wanaume Kushindwa  kushiriki  na Wenza  wao kikamilifu  katika  Huduma  ya  Afya  ya  Uzazi. Hayo  yameelezwa  na   Mkurugenzi  wa  Shirika  lisilo  la  kiserikali …

23 October 2022, 9:40 am

Wananchi 112,669 Iringa Wamepata Chanjo Ya Uviko 19

JUMLA ya wananchi 112,669 wamepata chanjo ya UVIKO 19 katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa ambapo ni sawa asilimia 91ya walengwa ambao ni 123,418 kwa lengo kulinda afya za wananchi wasipatwe na maambukizi ya ugonjwa wa Corona. Akizungumza wakati wa…

21 October 2022, 11:10 am

Wananchi Waaswa Juu ya Tahadhari ya Magonjwa ya Mlipuko

MPANDA Wananchi  Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi Wametakiwa kuchukua tahadhari juu ya magonjwa ya milipuko ikiwamo kuhara kwa kunawa mikono na maji tiririka na sabuni sambamba na kutibu maji ya kunywa. Afisa afya Manispaa ya Mpanda Erick Kisaka ameitaka jamii…

20 October 2022, 11:43 am

MRINDOKO: ‘Zoezi la Kuhamia Hospital Mpya Lisiathiri Utoaji Huduma’

MPANDA Mkuu wa mkoa wa Katavi  Mwanamvua Mrindoko amemtaka mganga mfawidhi kuhakikisha zoezi la kuhamia hospital mpya ya mkoa kutoathiri utoaji huduma katika hospitali teule ya rufaa. Mrindoko amesema  wahakikishe wanatengeneza miundombinu ambayo yatapelekea wagonjwa kuendelea kutibiwa hospital teule ya…

14 October 2022, 5:25 am

Wazazi Wapongeza Matibabu ya Mguu Fundo

Wazazi ambao wana watoto wenye ugonjwa wa Mguu kifundo Manispaa ya Mpanda  Mkoani  Katavi wamepongeza  uwepo  wa matibabu ya mguu kifundo   katika hospitali ya rufaa Mkoani hapa. Wakizungumza na Mpanda radio fm wazazi wamesema  wengi waligundua ugonjwa  walipozaliwa na kufanya…