Recent posts
4 September 2023, 10:53 am
Zanzibar Yakabiliwa na Upungufu wa Vifaa Vya Uchunguzi wa Hiv
VIJANA WASHINDWA KUCHUNGUZA AFYA ZAO Na Harith Subeit Zanzibar Kumekuwa na uhaba wa wa kifaa cha uchunguzi wa Virusi Vya UKIMWI ( HIV Kits) katika vituo vya afya vya serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar jambo ambalo limepelekea huduma ya upimaji…
20 August 2023, 6:16 pm
Waislamu wahimizwa kusom Quran tukufu, kuwa mahiri katika taaluma mbalimbali
Na Juma Haji Juma Wakili mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Shekh Saleh Mubaraq amewataka mashekh na walimu wa madrasa za Qurani nchini, kufundisha riwaya mbalimbali za usomaji wa Quran tukufu ili kuongeza kiwango cha ujuzi, umahiri, ufaulu wa taaluma…
10 August 2023, 2:41 pm
SOS yatoa mafunzo ya kukabiliana na udhalilishaji Zanzibar
Kutokana nakuongezeka vitendo vya udhalilishaji SOS yaamua kutoa mafunzo hayo Na Ali Khamis Jamii imetakiwa kuyaendeleza mafunzo wanayotolewa na wadau mbalimbali hasa katika kudhibiti masuala ya udhalilishaji ili kuona viashiria na vitendo hivyo vinaondoka nchini. Mratibu wa Program ya malezi…
10 August 2023, 1:09 pm
Makamu wa Kwanza Rais Zanzibar akutana na balozi mdogo wa Uingereza nchini
Viongozi hao wamekutana nakuzungumzia Maridhiano ya kisiasa Zanzibar Na Afisi ya Makamu wa Kwanza Makamu wa Kwanza Wa Rais Wa Zanzibar Othman Massoud Othman aesema kwamba kuanza kwa vikao vya Kamati ya Pamoja ya Maridhiano ya Kisiasa Klkati ya Chama…
9 August 2023, 6:25 am
Taarifa ya habari Adhana FM Agosti 9, 2023
8 August 2023, 10:52 am
ACT-Wazalendo wahitimisha mzunguuko wa kwanza wa mikutano ya hadhara mkoa Kaskaz…
ACT-Wazalendo wakamilisha mzunguunko wa kwanza wa mikutano ya hadhara kwa kusisitiza umoja, mshikamano na uzalendo kwa Wazanzibari. Na mwandishi wetu. MWENYEKITI wa Chama cha ACT-Wazalendo Taifa ndugu Juma Duni Haji, amesema kwamba ni muhimu wazanzibari kushikama na kuwawamoja ili kutengeneza…
8 August 2023, 8:54 am
Makala: Kilimo cha migomba nchini Tanzania
Radio Adhana FM inakukaribisha kusikiliza makala ya Elimika kuhusu kilimo cha Migomba, sikiliza sauti hapo juu ili kupata faida kuhusu ukulima wa migomba.
7 August 2023, 10:30 am
Baraza la Mji Kaskazini A kupunguza msongamano wa wafanyabiashara Soko la Kinya…
Ujenzi wa masoko unavyochangia kuondoa msongamano wa wafanyabiashara katika nchi yetu. Na Juma Haji Juma Baraza la mji Wilaya ya kaskazini A Unguja linakusudia kuondosha msongomano wa wafanyabiashara wa soko la kinyasini kwa kujenga masoko mawili makubwa yatakayotoa fursa kwa…
7 August 2023, 10:25 am
SMZ yapandisha bei ya karafuu Zanzibar
Karafuu ni zao kuu la biashara Zanzibar na sasa bei ya zao hilo imeongezwa ili kukuza kipato cha wakulima visiwani humo. Na Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepandisha bei ya karafuu kutoka shilingi 14,000 hadi…
10 February 2023, 4:31 am
Waandishi wa habari Zanzibar wametakiwa kufanya uchechemuzi ili kuchochea kureke…
Na Ali Khamis, Zanzibar Waandishi wa habari Zanzibar wametakiwa kupaza sauti zao kwa mamlaka zinazohusika kuondoa vifungu vya sheria kandamizi katika tasnia habari nchini ili kuimarisha uhuru wa kujieleza na ukuaji wa demokrasia kwa maendeleo nchini. Wito huo umetolewa katika…