Recent posts
1 June 2024, 12:19 pm
RC Kaskazini Unguja afanya ziara ya kushtukiza Hospitali ya Kivunge
Na Nishan khamis, Kaskazin Unguja Mkuu wa mkoa wa Kaskazini Unguja Rashid Hadid Rashid amefanya ziara ya kustukiza katika hospital ya wilaya ya Kivunge kwa lengo na kusikiliza kero na changaomoto zinazowakabili wagonjwa na watendaji wa hospital hiyo. Katika ziara…
31 May 2024, 8:51 am
Wanahabari wahimizwa kuongeza elimu kwa ufanisi wa kazi zao
Na Nishan Khamis, Wilaya ya Mjini. Mkuu wa mkoa wa Mjini Magharib Idrisa kitwana Mustafa amewahimiza waandishi wa habari Zanzibar kuongeza elimu ili kuendana na mabadiliko ya siku hadi siku. Kitwana amesema hayo katika shughuli ya utoaji wa tunzo kwa…
7 May 2024, 8:13 pm
Baraza la Biashara Kaskazini Unguja lahimizwa kushirikiana na wafanyabiashara
Mkuu wa Mkoa Kaskazini Unguja Rashid Hadidi Rashid amelishauri Baraza la biashara la mkoa huo kushirikiana na wafanyabiashara ili kukuza pato la taifa. Na Abdul-Sakaza na Juma Haji, Kaskazini Unguja Rashid ameyasema hayo leo ofisini kwake Mkokotoni wakati alipokutana na baraza…
9 January 2024, 6:54 pm
Wenyeji 960 wapewa ajira kwenye mradi wa ujenzi wa barabara Zanzibar.
Na Najat Omar Kampuni ya CCECC inayojenga barabara za mjini na vijijini visiwani Zanzibar, imewapatia ajira wazanzibar wapatao 960 kwenye mradi huo. Akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa hoteli ya Serena Zanzibar, Mkurugenzi wa CCECC Afrika Mashariki Zhang…
20 December 2023, 8:09 pm
Pen America lawafunza waandishi wa habari wanawake Zanzibar kujilinda na udhalil…
Na Najjat Omar-Zanzibar Waandishi wa habari wanawake waliopo kwenye taasis mbalimbali za binafsi na Serikali wamekutanishwa pamoja na Shirikia na Pen America kwenye kikao cha siku mbili kilichojadili masuala ya udhalilishaji wa kimtandao,kulinda ,kujitetea na kuzingatia afya ya akili kwa…
9 December 2023, 11:34 am
Mkutano Mkuu wa Umoja wa Wajane Afrika kufanyika Zanzibar 2024
Na Najat Omar Mkutano Mkuu wa Umoja wa Wajane Afrika kufanyika Zanzibar 2024. Zanzibar : Kwa mara ya kwanza Zanzibar itapokea ugeni wa nchi 54 katika Mkutano mkuu wa Umoja wa wajane Afrika ambao unatarajiwa kufanyika Zanzibar mwezi June kuanzia…
26 November 2023, 12:16 pm
Makamu wa Kwanza SMZ ahimiza vijana kuandaliwa kwa ajili ya taifa la kesho
Na Mwandishi wetu – Zanzibar Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Othman Masoud Othaman ametoa wito wa kuandaliwa vijana ili wawe viongozi watakaolinda miiko, silka, haki, uadilifu na uwajibikaji katika utumishi wa umma kwa ajili ya maslahi ya taifa.…
27 September 2023, 9:15 pm
Rais Mwinyi awaongoza Waislamu kwenye Hawli ya kutimiza miaka 100 tokea kufariki…
Na Ali Khamis – Zanzibar Rais wa Zanzibar Dkt Hussein Ali Mwinyi ametoa ujumbe wa kushikamana na kupendana alipojumuika na waumini wa kiislam katika hafla ya hawli ya kutimiza miaka 100 tokea kufariki Sheikh Sayd Oamr Qullatein, shughuli iliyoandaliwa na…
7 September 2023, 1:50 pm
Tume ya Utangazaji Zanzibar yasitisha matangazo ya Adhana FM
Ni Baada ya Masafa yake Kuingiliana Masafa ya Anga Na Harith Subeit Zanzibar Kituo cha Radio Adhana Fm kilichopo mtaa wa Rahaleo Zanzibar kimesitisha matangazo yake kupitia masafa ya 104.09 FM kutokana na masafa hayo kuingiliana na masafa ya mawasiliano…
5 September 2023, 1:27 pm
Tamwa yasikitishwa na tukio la kuzuiwa Mjumbe wa Zec kutoa maoni yake
Ni Baada ya Uteuzi wa Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi Uliofanywa na Rais wa Zanzibar Na Harith Subeit, Zanzibar CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA Zanzibar), Baraza la Habari Tanzania (MCT), Jumuiya ya Waandishi wa Habari za Maendeleo…