
Recent posts

3 April 2025, 5:28 pm
UTAHIZA yatangaza tarehe ya mwisho kutia visa za Ibada ya hijja ya 1446H
Na Juma Haji Adhana FM Umoja wa Taasisi za Hijja Zanzibar (UTAHIZA) umetangaza kuwa ifikapo18 April 2025 kuwa mwisho wa kupokea maombi ya VISA kwa waumini wanaotaka kwenda kutekeleza Ibada ya hija ya mwaka 1446 hijria. Akitoa taarifa kwa waandishi…

1 April 2025, 7:03 am
Waumini wa dini ya kiislamu watakiwa kuyaendeleza mema ya Ramadhan
Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Sala ya Iddi. Sala Hiyo imefanyika Msikiti wa Jamiu Zenjibar Kiembe Samaki Wilaya ya Magharibi B.…

13 December 2024, 6:46 pm
Mbunge wa Bububu atembelea vikundi vya wakulima Mbuzini
Na Mwandishi Wetu. Mbunge wa Jimbo la Bububu, Mwantakaje Haji Juma, amefanya matembezi, kuangalia hatua za maendeleo na kutathimini changamoto kwa wakulima wa mboga mboga wa Mbuzini na Dole wilaya ya Magharibi A Unguja. Akiwa katika shamba la kikundi cha…

11 December 2024, 3:53 pm
JUMAZA yatoa zaka Kusini Unguja
Ni kawaida ya Jumaiya ya Maimamu Zanzibar (JUMAZA) kukusanya zaka kutoka kwa waumini wa dini ya Kiislam na kuwapatia wahitaji mbalimbali Zanzibar. Na Ali Khamis Bodi ya ZAKA na SADAKA ya Jumuiya ya Maimanu Zanzibar (JUMAZA) imetoa zaka ya mali…

11 December 2024, 3:22 pm
Call to Muslims intending to make the Hajj
By Our Correspondent, Zanzibar In a recent press briefing held at Jamiu Mosque Zinjibar, Sheikh Ali Adam, the Chairperson of The Union of Hajj Travelling Agencies of Zanzibar known as UTAHIZA-(Umoja wa Taasisi za Hijja Zanzibar) informed and explained some…

24 October 2024, 10:51 pm
Wanaokusudia kwenda hija kukamilisha taratibu kabla ya Feb. 14, 2025
Na Mwandishi wetu Umoja wa taasisi za kusafirisha mahujaji Zanzibar UTAHIZA, umetoa taarifa kwa waislamu wanaokusudia kwenda kutekeleza ibada ya hija ya mwaka 1446/2025 kuwa mwezi 25 shaaban 1446 hijiria ni mwisho wa kusajili mahujaji katika mfumo wa hija inayofuata.…

7 July 2024, 7:06 am
CCM Kaskazini Unguja yashauriwa kutatua changamoto za wakulima
Na Juma Haji Adhana FM. Mbunge Wa Jimbo La Chaani Juma Usonge ameishauri Halmashauri Kuu ya CCM mkoa wa waskazini Unguja kutatua changamoto za wakulima wa bonde la mpunga Kibokwa ili kufikia lengo la serikali kupitia sekta ya Kilimo hapa…

5 July 2024, 5:37 pm
CCM Kaskazini Unguja yaridhishwa utekelezaji miradi ya maendeleo
Na Juma Haji Adhana FM Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja imesema imeridhishwa na kasi ya utekelezaji wa miradi inayoendelea kufanywa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika Mmkoa huo. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi…

2 July 2024, 6:24 am
Taarifa ya habari ya Julai 1, Julai 2 Adhana FM
Sauti ya mtangazaji Juma Haji Juma akisoma taarifa ya habari ya siku.

15 June 2024, 10:35 pm
Mahujaji waliosafiri na Jumuiya ya Istiqama, wawasili Muzdalifa
Na Mwandishi Wetu Kiongozi wa Kamati ya Hijja ya Jumuiya ya Istiqama, Sultan Khamis Al Mazroui amewaongoza mahujaji waliosafiri na kundi lao kuondoka viwanja vya Arafa na kuwasili Muzdalifa baada ya kukamilisha nguzo kuu ya Hijja. Sheikh Sultan amesema kuwa,…