Uvinza Fm

Serikali kuendelea kutatua migogoro ya ardhi

28/05/2021, 7:29 pm

Na,Mwanaid Suleiman

Serikali imesema inaendelea kutatua migogoro ya ardhi ili wananchi waweze kufanya shughuli zao kwa amani na utulivu

Naibu wazri wa ardhi nyumba maendeleo na makazi

Hayo yamejiri leo bungeni jijini Dodoma wakati naibu waziri wa ardhi nyumba maendeleo na makazi mh Angelina mabula alipokua akijibu swali la mbunge wa viti maalum mh jackline kaicha Andrew lililohoji ni lini serikali itamaliza migogoro ya ardhi katika mikoa ya Tabora na Singida

Sauti ya naibu waziri wa ardhi nyumba maendeleo na makazi

Hatahivyo mh Angelina mabula ametoa rai kwa taasisi za umma ambazo hazilipi fidia kwa wananchi zikiwa zinachangia kwa asilimia 39 migogoro ya ardhi hapa nchini

Sauti ya naibu waziri wa ardhi nyumba maendeleo na makazi

Aidha kwa  mwaka wa fedha 2020/21 wizara  ya ardhi iliagiza ofisi zote za i  mikoa  kuanzisha majedwali ya migogogo ya ardhi ili kuibanisha na kuitambua .