Uvinza Fm

maendeleo

13/09/2021, 3:40 pm

UNDP kuwafunda wabunifu mbalimbali mkoani Kigoma

Na,Glory Paschal Shirika la Umoja wa Mataifa linashughulikia  Maendeleo UNDP, likishirikiana na shirika la kuhudumia viwanda vidogo vidogo sido mkoani kigoma wametoa mafunzo kwa wabunifu wanaoanza ili kuibua bunifu  na kuahindanisha kazi zao ambapo mshindi wa kwanza atapatazawadi ya milioni 10…

19/08/2021, 4:34 pm

Shirika la afya WHO latoa msaada wa baiskeli 100

Na,Glory Paschal Shirika la afya Duniani, WHO limetoa msaada wa baiskeli 100 Mkoani Kigoma kwaajili ya wahudumu wa afya ngazi ya jamii waliopo katika maeneo ya mipakani na katika kambi za wakimbizi ili kuimarisha ufuatiliaji wa magonjwa ya mlipuko Akikabidhi…

07/06/2021, 5:14 pm

Michango katika shule za msingi na sekondari ni hiari

Na,Mwanaid Suleiman Serikali imesema uchangiaji wa michango katika  shule za msingi na sekondari ni wa hiari na  hauusishwi kwa wanafunzi kuzuia masomo yao ikiwa hajalipa michango hiyo Hayo yamejiri leo bungeni jijini Dodoma wakati Naibu waziri wa TAMISEMI mh David…

28/05/2021, 7:29 pm

Serikali kuendelea kutatua migogoro ya ardhi

Na,Mwanaid Suleiman Serikali imesema inaendelea kutatua migogoro ya ardhi ili wananchi waweze kufanya shughuli zao kwa amani na utulivu Hayo yamejiri leo bungeni jijini Dodoma wakati naibu waziri wa ardhi nyumba maendeleo na makazi mh Angelina mabula alipokua akijibu swali…

28/05/2021, 7:15 pm

Serikali kutenga fedha kwa ajili ya kutengeneza barabara

Na,Rosemary Bundala Serikali imesema itaendelea kutenga fedha katikaWizara ya ujenzi  ili kuzifanyia matengenezo barabara korofi  kwa kadri upatikanaji wa fedha utakavyokuwa unaendelea  kuimarika Hayo yamejili leo bungeni jijini Dodoma wakati naibu waziri wa nchi ofisi ya rais tawala za mikoa…

27/05/2021, 5:32 pm

Serikali yaahidi kuwalinda raia na mali zao

Na,Rosemary Bundala Serikali imesema inaendelea kuhakikisha usalama wa raia na mali zao unaendelea kuimarika na kuhakikisha kuwa wananchi wanaendelea na shughuli zao za kila siku kwa amani na utulivu Hayo yamejiri leo bungeni  jijini Dodoma wakati  waziri mkuu  Kassim Majaliwa…

26/05/2021, 7:28 pm

Serikali kuboresha mifumo ya upatikanaji wa pembejeo

Na,Rosemary Bundala Serikali imesema  imenza kuboresha mifumo ya upatikanaji wa pembejeo kwa maana ya mbolea mbegu na viwatilifu ,kuratibu mahitaji ya pembejeo kutoka katika mikoa na kuweka mazingira wezeshi kwa ajili ya makampuni kupeleka na kuuza Hayo yamejiri leo bungeni…