watoto
19 January 2024, 1:29 pm
Waliomteka mtoto na kudai milioni 4 watiwa mbaroni Mbogwe
Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limejipanga kukabiliana na matukio ya ukatili kwa watoto ikiwemo ya kubakwa na kuuawa. Na Mrisho Shabani – Geita Jeshi la polisi Mkoa wa Geita limewakamata watu watatu wilayani Mbogwe kwa tuhuma za kumteka mtoto…
19 January 2024, 13:04
Zaidi ya watoto 600 wafariki Januari hadi Desemba 2023 Kigoma
Zaidi ya watoto 600 wamefariki wakati wa kuzaliwa Mkoani Kigoma huku akina mama 76 wakipoteza maisha wakati wa kujifungua katika kipindi cha januari hadi disemba 2023. Josephine Kiravu anasimulia taarifa ifuatayo.
10 January 2024, 12:04 am
Ajira katika umri Mdogo zinavyo kwamisha ndoto za mabinti
Kama mwajiri atatoa madai kwamba hakufahamu kwamba mtu aliyemuajiri ni mtoto wakati wa kumpa ajira au kudai kupewa taarifa zisizo sahihi watakua na wajibu wa kuthibitisha kua ilikua sahihi kwa wao au mtu mwingine yeyote mwenye akili timamu kuamini kwamba…
22 December 2023, 17:03
Wazazi, walezi watakiwa kuimarisha ulinzi kwa watoto kipindi cha sikukuu
Na Orida Sayon Wito umetolewa kwa wazazi na walezi mkoani Kigoma kuimarisha ulinzi na usalama kwa watoto katika kipindi hiki cha sikukuu za Kristmas na Mwaka Mpya ili kuwalinda dhidi ya vitendo vinavyowaweka katika mazingira hatarishi. Wito huo umetolewa na…
15 December 2023, 7:40 am
Programu ya makuzi, malezi na maendeleo ya awali ya mtoto yatakiwa kusimamiwa bi…
Mafanikio ya utekelezaji wa programu hiyo kwa takribani miaka 2 tangu uzinduliwe mwaka 2021 hayakuletwa na Serikali pekee. Na Mariam Kasawa.Watekelezaji wa programu Jumuishi ya Taifa ya Malezi,Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto wametakiwa kwenda kusimamia ipasavyo mipango waliyojiwekea…
19 November 2023, 10:53 am
Asilimia 11 ya akina mama nchini hujifungua kabla ya wakati kila mwaka
Siku ya watoto waliozaliwa kabla ya wakati ilianzishwa kwa nia ya kuelimisha kuhusu kujifungua watoto ambao bado hawajakomaa. Na Mindi Joseph. Maadhimisho ya siku ya watoto wanozaliwa kabla ya wakati yalifanyika Nov 17 katika hospital ya benjamini mkapa yakiwa yamebeba…
13 November 2023, 4:31 pm
Ubakaji, ulawiti kwa watoto wakithiri Dodoma
Ripoti hiyo ni kwa mujibu wa Kituo cha One stop center kwa mwezi Septemba 2023 ambapo takwimu zimebainisha kuwa mkoa wa Dodoma matukio ya ukatili wa kijinsia kwa watoto 130 kwa matukio ya ubakaji huku watoto 69 wakilawitiwa. Na Seleman…
23 October 2023, 12:21 pm
Makala: Umuhimu wa vituo vya kulea watoto mchana (Day care centers)
Na Mwanahamisi Chikambu, Gregory Milanzi Usipoziba ufa utajenga ukuta, katika makala haya tunaangazia vituo vya kuelelea watoto maarufu kama day care ambapo watoto hujifunza, kula na kucheza pamoja huku wakijengwa katika masuala mbalimbali ya kielimu kulingana na umri wao. Hapa…
12 October 2023, 11:05 am
Wilaya ya Geita kufanya msako wa wazazi waliotelekeza familia
Wakati serikali ikiendelea kupambania haki sawa kwa mtoto wa kike wananchi na wadau wametakiwa kuiunga mkono katika mapambano hayo. Na Mrisho Sadick: Watendaji wa Mitaa na Kata wilayani Geita wameagizwa kufanya msako nakuwachukulia hatua kali wazazi na walezi ambao wamewatelekezea…
4 October 2023, 08:59
Watoto wenye umri chini ya miaka mitano kupatiwa vyeti vya kuzaliwa bure Kigoma
Wakazi wa mkoa wa Kigoma wamefurika katika viwanja vya mwanga manispaa ya Kigoma Ujiji, ili kusajili na kupatiwa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano. Na, Tryphone Odace Wazazi na Walezi wenye Watoto chini ya…