Radio Tadio

Uchumi

7 May 2024, 6:41 pm

Wanafunzi Kongwa wajifelisha mitihani kwa ajili ya kazi za ndani

Wanafunzi wa shule za msingi wilayani Kongwa Mkoani Dodoma wamekuwa wakishindwa kuhitimu masomo yao. Na Alfred Bulahya.Imeelezwa kuwa baadhi ya wanafunzi wa shule za msingi wilayani Kongwa mkoani Dodoma wamekuwa wakishindwa kuhitimu masomo yao huku wengine wakijaza majibu ya uongo…

1 February 2024, 10:49

Kigoma: Miradi ya kimkakati kuimarisha uchumi nchini, nchi jirani

Serikali imesema inaendelea kuhakikisha inaboresha miradi ya kimkakati kwenye sekta ya usafiri iliyopo ili kusaidia katika ukuaji wa uchumi hasa kupitia sekta ya usafirishaji kwa njia ya maziwa.  Na, Tryphone Odace. Meneja Mipango kutoka kampuni ya huduma za meli nchini…

13 December 2023, 3:47 pm

Wafanyabiashara Pemba wahimizwa kulipa kodi kwa hiari

Na Is-haka Mohammed. Mamlaka ya Mapato Zanzibar(ZRA) Pemba imezindua mwezi wa kurejesha shukrani kwa mlipa kodi kwa kutoa elimu kwa wafanyabiashara na wananchi wa Manispaa ya Chake Chake juu kulipa kodi kwa hiari na kutoa risiti za Kielekronik. Katika uzinduzi…

29 November 2023, 1:30 pm

TRA Pemba warejesha shukrani kwa walipa kodi

Amesema wao kama wakala wa serikali wa ukusanyaji wa kodi kila mwaka wamekuwa na utaratibu wa kurejesha shukurani kwa walipa kodi ili waone kwamba kodi wanayoitoa hurudi kwao kwa njia tofauti ikiwemo hiyo ya kutoa misaada ya kijamii. Na Is-haka…

11 October 2023, 17:13

Kiwanda cha kutengeneza meli kujengwa Kigoma

Hatua ya kuanza ujenzi wa kiwanda cha kutengeneza meli kinatjwa kuwa ni miongoni mwa mikakati ya Serikali kuboresha huduma za usafirishaji ndani ya Ziwa Tanganyika. Na, Tryphone Odace Serikali Kupitia Wizara ya Uchukuzi, imetia Saini makubaliano ya kuanza ujenzi wa…

17 September 2023, 15:37

Vikoba vyawa mkombozi kwa wanawake wilayani Kyela

Vikoba wilayani Kyela vimetajwa kuwa chanzo kikuu cha kuinua uchumi kwa wanawake na kupelekea kujikwamua kiuchumi na kuwa tegemezi kwenye familia. Na Secilia Mkini Imeelezwa kuwa vikoba kwa wanawake ni njia mojawapo inayoinua uchumi kwa wanawake kwani huwasaidia katika kuendesha…