Radio Tadio

Ubakaji

13 November 2025, 4:27 pm

Wakazi wa kwa Mathias Dodoma wakabiliwa na ukosefu wa maji

Wananchi hao wameomba kuwekwa utaratibu wa uhakika wa upatikanaji wa maji ili kupunguza usumbufu wanaoupata. Na Farashuu Abdallah.Wakazi wa Mtaa wa Mathias, Kata ya Miyuji jijini Dodoma wameiomba serikali kutatua changamoto ya ukosefu wa maji ambayo imekuwa ikiwakabili kwa muda…

19 January 2024, 12:51

Binti wa miaka 15 abakwa na mjomba wake Kigoma

Binti  mmoja  mwenye umri wa miaka 15 ambaye ni mhitimu wa elimu ya msingi mwaka jana amekutana na madhira ya kubakwa na mjomba wake ambaye ni mdogo wa mama yake alipokwenda kumsalimia. Na, Josephine Kiravu

17 January 2024, 10:22

Msichana miaka 15 adaiwa kubakwa na mjomba wake Kigoma

Binti  mmoja  mwenye umri wa miaka 15 ambaye ni mhitimu wa elimu ya msingi mwaka jana amekutana na madhira ya kubakwa na mjomba wake ambaye ni mdogo wa mama yake alipokwenda kumsalimia. Na, Josephine Kiravu Ni binti Zulekha Hussein sio…

3 November 2023, 6:44 pm

Ahukumiwa miaka30 kwa kumbaka mwanae.

Mtukio ya ukatiri wa kijinsia yamekuwa yakijitokeza katika familia nyingi wilayani Sengerema huku baadhi yao wakiyafumbia macho jambo linalo hatarisha na kusababisha kuendelea kushamili kwa matukio hayo. Na;Joyce Rollingstone. Mkazi wa kijiji cha Nyamizeze Wilayani Sengerema mkoani Mwanza,Samson Paschal Mibulo…

July 10, 2023, 11:58 pm

Watatu mbaroni tuhuma za kubaka mwanafunzi

Wazazi na Walezi wanatakiwa wawe karibu watoto kwa kuwalea katika maadili ya kidini,kwasababu kumekua na changamoto ya mmomonyoko wa maadili katika jamii” Na Halima Khoya Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linawashikilia vijana watatu wanaotuhumiwa kuhusika na tukio la kumbaka…

4 July 2023, 11:38 am

Jela miaka 30 kwa ubakaji wa mtoto

Mahakama ya wilaya ya Missenyi mkoani Kagera, imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Mahmoud Idi (54) mkulima mkazi wa kijiji cha Kigarama kata ya Kanyigo wilayani humo kwa kuthibitika pasipo na shaka kuwa alimbaka mtoto wa miaka minane kijijini hapo…