Radio Tadio

Nishati

1 September 2026, 15:54

DC Kasulu aongoza maadhimisho miaka 20 Polisi Jamii

Katika kuadhimisha miaka 20 ya Polisi jamii shughuli mbalimbali zimefanyika ikiwemo usafi wa mazingira katika maeneo mbalimbali huku Jeshi hilo likitoa wito kwa wananchi kushirikiana katika kutoa taarifa za uhalifu na wahalifu. Na Mwandishi Wetu Mkuu wa Wilaya ya Kasulu…

8 May 2026, 7:04 pm

Wananchi, Diwani wataka mustakabali mradi wa maji Nyanguku

“Huu ni mwaka wa nne tangu huu mradi uanze na kila siku tumekuwa tukipewa ahadi tu kila kiongozi anayekuja anasema utakamilika, tunaomba mamlaka zitusaidie” – Mwananchi wa Nyanguku Na: Ester Mabula Wakazi wa kata ya Nyanguku iliyopo halmashauri ya manispaa…

3 October 2023, 11:04 am

Vijiji 75 wilaya ya Geita vyapatiwa umeme

Dhamira ya serikali ya awamu ya sita nikufikisha umeme katika vijiji zaidi ya elfu 12 hapa nchini imeendelea kuonekana baada ya serikali kuendelea kufikisha huduma hiyo vijijini. Na Mrisho Sadick: Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imefikisha nishati ya umeme kwenye…

25 July 2023, 16:30

Wamiliki wa mafuta waahidi kutoa ushirikiano wa kusambaza mafuta

Wamiliki hao wameiomba serikali iimarishe upatikanaji wa dola ili zisaidie katika biashara hiyo. Na Fred Cheti. Wamiliki wa maghala ya mafuta nchini wameihakikishia Serikali kuhusu upatikanaji wa mafuta wakisema wana  petroli na dizeli za kutosha  na wapo tayari kutoa ushirikiano…

6 July 2023, 6:21 pm

Wananchi wazima jaribio la wizi wa nyaya za umeme

Kundi la watu zaidi ya 20 limefurushwa kwa madai ya kutaka kuiba nyaya za umeme zilizokuwa zimehifadhiwa katika shule ya sekondari. Na Mrisho Sadick: Wakazi wa kijiji cha Kaduda Kata ya Katoro wilayani Geita wamezima jaribio la wizi wa nyaya…

3 July 2023, 17:37

REA yafikisha umeme vijiji vyote 87 Kongwa

Mradi wa kusambaza umeme katika Maeneo ya pembezoni mwa miji awamu ya pili wilayani kongwa umegharimu Bilion Moja Milion miatano themanini na tatu laki nane tisini na tisa elfu mia nne sabini na nane na senti sita 1,583,899,478.06 Na Mindi…