Radio Tadio

mitaa

9 September 2026, 3:54 pm

Geita Gold FC kula sahani moja na Yanga SC Septemba 15

Baada ya Geita Gold FC kumalizana na Simba SC sasa silaha zao wamezihamishia kwa wananchi Yanga ambapo mchezo huo utapigwa hivi karibuni. Na Mrisho Sadick: Klabu ya Geita Gold FC imeendelea na maandalizi kuelekea mchezo wake dhidi ya Yanga SC…

22 June 2026, 11:12 am

Akutwa amejinyonga hadi kufa kwa kipande cha chandarua

“Tumeshtushwa na tukio hili na huyu kijana hatumfahamu.“ Na Anna Milanzi Katavi Kijana mmoja wa kiume ambaye bado hajafahamika anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 30 hadi 35 amekutwa amejinyonga kwa kutumia kipande cha chandarua katika mtaa wa Nsemulwa…

24 April 2026, 2:02 pm

DC Kaganda aamuru waliojenga eneo la mwekezaji kuhama

Mkuu wa Wilaya ya Babati Mhe. Emmanuela Mtatikolo Kaganda amewataka Wananchi wa Vijiji vya Kiru, Masware na Marangi waliojenga makazi yao ndani ya eneo la muwekezaji kubomoa nyumba zao na kuacha eneo hilo likiwa wazi kwani eneo hilo sio lao…

5 May 2022, 07:40

Elimu ya mipaka itolewe kwa viongozi wa mitaa

Na;Yussuph Hassan. Elimu ya mipaka ya ardhi katika kipindi cha Sensa ya watu na makazi imetajwa kuwa muhimu katika kuhakikisha kila eneo linafahamu kwa kina mipaka yake. Akizungumza na kituo hiki Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Nzije Jijini hapa…