Radio Tadio

Maendeleo

30 January 2024, 17:38

Kamati zote zijengewe uwezo usimamizi miradi

Na mwandishi wetu Mkuu wa wilaya ya Chunya Mrakibu Mwandamizi wa Uhamiaji Mhe. Mbaraka Alhaji Batenga ameagiza kamati zote za ujenzi zinazosimamamia Miradi mbalimbali ya Ujenzi wilayani Chunya zijengewe uwezo wa kusimamia miradi husika ili watakapokiuka maelekezo waweze kuchukuliwa hatua…

16 January 2024, 10:19

Wananchi wajenga shule ya sekondari, serikali yatia mkono

Na mwandishi wetu Isaka sekondari, shule mpya katika kata ya Nkunga ambayo imesajiliwa kwa namba S. 6491 na tayari imeanza kupokea wanafunzi wa kidato cha kwanza. Kuanzishwa kwa shule hii kumesaidia kuondoa msongamano wa wanafunzi darasani katika shule ya sekondari…

11 January 2024, 18:09

Mwangasa:Vijana shikamaneni acheni makundi

Katika kuiimarisha jumuiya ya vijana Uvccm hapa wilayani Kyela mjumbe wa mkutano mkuu mkoa wa mbeya Sarah Mwangasa amewataka vijana wilayani hapa kuachana makundi ili kukijenga jumuiya imara. Na Nsangatii Mwakipesile Mjumbe wa UWT mkoa kutoka wilayani Kyela Sarah Mwangasa…

8 January 2024, 15:47

Kyela waunda Chamata

Wakati Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiendelea na jukumu la kuwaletea maendeleo wananchi wa Tanzania, wadau mbalimbali wa maendeleo hapa wilayani Kyela wameunda umoja wao unaotambulika kwa jina la Chamata Tanzania ukiwa na lengo la…

8 December 2023, 1:37 pm

TEMESA kujiendesha kisasa kuondoa malalamiko

TEMESA kujivua gamba ili kwendana na kasi ya teknolojia kwa kufanya mabadiliko kwenye mfumo wa utendaji kazi ili kuondoa malalamiko kwa wadau wake. Na Mrisho Sadick – Geita Wakala wa ufundi na umeme Tanzania (TEMESA) umekusudia kujiendesha kisasa kwa kufanya…