Dini.
4 December 2024, 12:45 pm
Elimu, dini jinsia na ulemavu visababishi ubaguzi katika familia
Wazazi na walezi wameombwa kutokuwabagua watoto wao katika familia ili kuweka usawa. Na Lilian Leopord. Elimu, jinsia, dini na ulemavu vimetajwa kuwa visababishi vinavyochochea watoto kubaguliwa kwenye familia. Akizungumza na Dodoma Tv Afisa Mradi kutoka Action for Community Care Michael…
13 December 2023, 1:37 pm
Kanisa kushiriki ujenzi wa makaravati Maswa
Zaidi ya Sh.Mil,15 kutumika kufanya Ujenzi wa Karavati(3)kwenye baadhi ya mitaa Wilayani Maswa Mkoani Simiyu. Na Alex Sayi Kanisa la Repentence Pentacost Mission Church of Tanzania (RPMT) limekabidhi karavati moja lenye gharama ya zaidi ya Sh.Mil 5 kati ya madaraja…
2 December 2023, 21:47
Katule: Msikae kinyonge kanisa la Moravian ni kubwa
Wahitimu wa mafunzo ya uchungaji katika chuo cha biblia cha kanisa la kiinjiri Moraviani Tanzania hapa wilayani Kyela wametakiwa kumtegemea Mungu katika kazi yao mpya ya utumishi. Na Nsangatii Mwakipesile Mahafari ya kumi na tisa ya uchungaji ya chuo cha…
October 28, 2023, 3:52 pm
Askofu Shoo awataka waumini Makete kuungana ujenzi wa kanisa
Askofu mkuu wa wa kanisa la kilutheri Tanzania Fredrick Shoo pamoja na askofu mkuu wa dayosisi ya kusini ya kati wilson sanga kwenye uwekaji wa jiwe la msingi.picha na Rose njinile Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu, unaweza kusema hivyo…
27 September 2023, 9:15 pm
Rais Mwinyi awaongoza Waislamu kwenye Hawli ya kutimiza miaka 100 tokea kufariki…
Na Ali Khamis – Zanzibar Rais wa Zanzibar Dkt Hussein Ali Mwinyi ametoa ujumbe wa kushikamana na kupendana alipojumuika na waumini wa kiislam katika hafla ya hawli ya kutimiza miaka 100 tokea kufariki Sheikh Sayd Oamr Qullatein, shughuli iliyoandaliwa na…
18 September 2023, 3:34 pm
Viongozi wa dini watakiwa kutoa huduma nzuri kwa wananchi
Kanisa la Pentecostal Christian International lililopo Mji Mwema Dodoma limesimika viongozi 20 katika nafasi za huduma mbalimbali. Na Yussuph Hassan. Viongozi waliosimikwa katika nafasi mbalimbali ndani ya Kanisa la Pentecostal Cristian International lililopo Mji Mwema Dodoma, wametakiwa kutoa huduma nzuri…
14 September 2023, 18:40
Vijana jengeni mazoea ya kumtumikia Mungu na kusoma neno lake
Kanisa ni moja ya taasisi nyeti ambayo ipo katika kuwajenga waumini wake kumjua Mungu na kumtumikia,kutokana na hali hiyo kanisa la Moravian limekuwa na utaratibu wa kuandaa mikutano ya kila idara ili kuwakutanisha waumini kubadilishana vipawa kutokana na rika zao.…
14 July 2023, 1:28 pm
Shigela: Viongozi wa dini wana mchango mkubwa katika amani ya nchi
Inaelezwa kuwa utulivu , amani , umoja na mshikamano katika taifa umechangiwa kwa kiasi kikubwa na viongozi wa dini kuendelea kuwajenga kiimani wananchi. Na Kale Chongela: Serikali mkoani Geita imesema inatambua mchango wa viongozi wa dini katika kuleta umoja na…
10 April 2023, 12:22 pm
Waumini wa dini ya kiislamu washauriwa kuendelea kutenda mema
Ramadhani ni mwezi mtukufu ambao Waislamu hutumia mwezi wa Ibada wakiwa wamefunga, moja ya nguzo za Uislamu. Na Yussuph Hassan. Waumini wa dini ya kiislamu mkoa Dodoma wameshauri kuendelea kuutumia mwezi wa mtukufu wa ramadhani katika kutenda mema na zaidi.…