Storm FM

ufugaji

10 December 2025, 14:13

Madiwani watakiwa kuongeza juhudi ukusanyaji mapato Kasulu

Wakati madiwani wa Halmashauri mbalimbali za Mkoa wa Kigoma wakiwa wameshakula kiapo cha kuanza kuwatumikia wananchi kwa kipindi cha miaka mitano msisitizo upo kwenye ukusanyaji wa mapato ili yaweze kusaidia katika utekelezaji wa miradi mbalimbali Na Hagai Ruyagila Kaimu Katibu…

4 December 2025, 14:36

Madiwani watakiwa kuwatumikia wananchi Kasulu

Katibu tawala Mkoa wa Kigoma amewataka madiwani katika Halmashauri ya Wilaya Kasulu kuhakikisha wanawatumikia wananchi katika utekelezaji wa majukumu yao Na Emmanuel Kamangu Madiwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuwatumikia wananchi kwa uadilifu na kusimamia vyema…

9 September 2025, 8:41 pm

Darasa la saba ndani ya chumba cha mtihani Septemba 10

Leonard Victor afisa elimu manispaa ya Mpanda.Picha na Sumaiya Emmanuel “Nimejiandaa vizuri na nafurahi kuhitimu elimu yangu ya msingi” Na Sumaiya Emmanuel Jumla ya wanafunzi  5312 wanatarajiwa kufanya mitihani ya kumaliza elimu ya msingi manispaa ya Mpanda mkoani Katavi.  Akizungumza…

August 17, 2025, 4:32 pm

Wafuga nyuki Ushetu watakiwa kuwatumia wataalam

Ujenzi wa kituo hicho umegharimu kiasi cha shiringi milioni 84.8 Na Sebastian Mnakaya Wafugaji wa Nyuki katika Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuwatumia wataalamu mbambili wa ufugaji wa nyuki ili kupata asili yenye ubora na yenye kuongeza…

28 May 2025, 6:52 pm

Siku ya hedhi duniani, huduma kwa mtoto wa kike zipoje?

Siku ya Hedhi Duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka tarehe 28 Mei, ni jukwaa la kimataifa linalotumika kuongeza uelewa kuhusu hedhi kama hali ya kawaida ya kibaiolojia. Na Adelinus Banenwa Lengo kuu la maadhimisho haya ni kuondoa unyanyapaa unaozunguka hedhi, kuhamasisha…

10 May 2025, 6:42 pm

Watakiwa kwenda chuo kusoma udereva na usalama barabarani

Kufuatia kukithiri kwa ajali za barabarani nchini Chuo cha udereva cha Nyota Kilichopo jijini mwanza kimeanzisha darasa la udereva linalotembea, ambapo kimekita kambi wilaya ya Sengerema kufundisha udereva na sheria za usalama barabarani. Na.Elisha Magege Vijana wanao endesha vyombo vya…

21 January 2025, 10:53 am

Mbwa wanne wavamia mbuzi wawili na kuwaua Msufini

Wafugaji katika mtaa wa Msufini, Msalala road wahimizwa kuzingatia sheria ili kuondoa changamoto ya kupoteza mifugo yao kwenye mazingira mbalimbali. Na: Amon Mwakalobo – Geita Mwanaume mmoja kwa jina Mfaume Felix mkazi wa Msufini mtaa wa Msalala road manispaa ya…

29 October 2024, 19:24

Wakristo watakiwa kushiriki mikutano ya Injili

Mikutano ya injili ambayo imekuwa ikifanyika maeneo mbalimbali imekuwa na matokeo chanya hali hiyo imekuwa ikisaidia kuhamasisha watu kuishi kwa amani na upendo. Na Iman Anyigulile Waumini wa dini ya kikristo mkoani Mbeya wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuhudhuria mikutano ya…

23 May 2022, 1:42 pm

UMASKINI, CHANZO MIMBA ZA UTOTONI

KATAVI Umaskini wa kipato umetajwa Kuwa  chanzo moja wapo  cha kinachopelekea mimba  za utotoni  kwa baadhi ya familia mkoani katavi. Wakizungumza na mpanda redio fm baadhi ya wazazi hao  wameeleza namna umaskini wa familia unavyosababisha mabinti wengi kupata mimba kabla…