Sibuka FM

Jamii

4 July 2025, 4:18 pm

Simiyu:Matukio 92 ya ajali migodini yaacha vilio

“Hakuna maendeleo ya vitu bila watu lazima tuendelee kutoa elimu ya usalama kwa wachimbaji wadogo wa madini ili kupunguza au kumaliza matukio ya wachimbaji wadogo maana kila kukicha tunaona vifo,majeruhi na ulemavu wa kudumu hivyo mamlaka husika zinao wajubu mkubwa…

3 July 2025, 8:25 pm

Vigogo wa migodi waenguliwa kwenye nafasi zao Simiyu

“Hatuwezi kufikia malengo kwa sitaili hii lazima tuheshimiane kwa kuzingatia sheria,miongozo na miiko ya kazi hivyo lazima katika safari ya mafanikio kuna watu tunapaswa tuachane nao kabisa ili safari hii iweze kwenda mbele kwa kasi tunayotakiwa ili kufikia malengo ya…

3 July 2025, 7:27 pm

42 watia nia kuyataka majimbo matatu CCM Bunda

Kwa mujibu wa Chonya idadi hiyo inaonesha mwitikio mkubwa wa wanachama wa CCM kushiriki katika mchakato wa kisiasa, hali inayoakisi ukuaji wa demokrasia ndani ya chama. Na Adelinus Banenwa Jumla ya wagombea 42 wametia nia ya kuomba kuteuliwa kwenyenafasi ya …

2 July 2025, 13:26

Wafanyabiashara Mbeya waomba kasi iongezeke ujenzi wa barabara.

Wafanyabiashara na wadau mbalimbali mkoani mbeya wameiyomba serikali mkoani mbeya kuharakisha ujenzi wa barabara ili waendeleze shughuli zao. Na Samwel Mpogole Wito huo umetolewa katika mkutano uliohusisha wafanyabiashara na wadau mbalimbali kutoka sekta za umma, ambapo Rose Muliahela kutoka Chama…

30 June 2025, 12:25 pm

Vigogo watatu wakutana kuutaka ubunge Bunda mjini

Bulaya amesema ameamua kurejea nyumbani baada ya kutafakari kwa kina, akieleza kuwa alihamia CHADEMA kwa kile alichokiita “mkopo wa kisiasa.” Na Adelinus Banenwa Aliyewahi kuwa Mbunge wa Bunda Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Esther Bulaya, amerejea rasmi…

19 June 2025, 10:57 am

Diwani ahamasisha vijana kugombea Oktoba 2025

Miradi ya maendeleo yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilion 5.7 imetekelezwa Bunda stoo kwa miaka mitano. Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa vijana kutoogopa kugombea nafasi za uongozi katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi October mwaka huu. Wito huo…

June 18, 2025, 3:03 pm

Ileje yajipanga kukabiliana na udumavu

Mikakati hiyo ya serikali imetajwa kuwa itasaidia kukabiliana na wimbi la udumavu,utapiamlo na ukondefu hususani kwa watoto chini ya miaka 5 Na:Joel Kibona Serikali itaendelea kuimarisha ustawi wa jamii kupitia utekelezaji wa agenda ya lishe bora kwa watoto, ili kukabiliana…

18 June 2025, 2:50 pm

Wanahabari ZNZ wanolewa kuripoti ukatili wa kijinsia katika siasa

“Wanawake wengi hukumbana na ukatili wa maneno, vitisho na hata kushambuliwa mitandaoni wanapojaribu kuwania nafasi za uongozi. Tunahitaji mabadiliko ya kimfumo na kijamii ili kuwalinda wanawake hawa na kuhakikisha wanashiriki siasa kwa usalama,” alisema Sizarina. Na Abdul Sakaza Shirika la…

13 June 2025, 10:51 am

CUF Zanzibar yajipanga kurejesha ufalme wao

Chama cha wananchi CUF ni miongoni chama kikongwe cha kisiasa ambacho kwa upande wa Zanzibar kilikuwa ni chama kikuu cha Upinzani kuanzia mwaka 1995 mpaka mwaka 2000 ambapo kuliingia migogoro ndani ya chama hicho na kusababisha kupotea kwa wanachama wake…

12 June 2025, 5:42 pm

Simbachawene hakuna rushwa kubwa wala ndogo wote wanamakosa

“Rushwa ni adui wa haki na maendeleo kahuna rushwa kubwa wala ndogo nendeni tukawahudumia wananchi walio na changamoto za kunyanyaswa na watu wanaotumia madaraka kwa kuwakandamiza watu ambao walitakiwa wapewe haki hakuna aliye mkubwa zaidi ya sheria na katiba ya…

10 June 2025, 10:24 am

MEK wapigwa msasa kuwatambua wenye mahitaji maalum Bariadi

“Hakuna sheria inayobagua watoto kutokana na mapungufu ya kimaumbile, binadamu wote kwa Mungu wetu sote tupo na haki hivyo ni wakati sasa kwa jamii kuachana na imani kuwachukulia watoto wenye mahitaji maalum kama vile ni mkosi, tuwapatie mahitaji yao kama…

June 5, 2025, 9:14 pm

Wananchi kata ya Kisongo kunufaika na maji ya RUWASA

Wananchi wa kitongoji cha Losinoni Kata ya Kisongo mkoani Arusha wanakwenda kunufaika na maji safi na salama baada ya kukosa maji kwa muda mrefu. Na Jenifa Lazaro Akizungumza na Savvy FM mwenyekiti wa Kijiji cha Engorora mhe Onesmo Lameck amesema…

4 June 2025, 4:23 pm

Hai waaswa kuleta uhai wa mazingira

Katika kuelekea maadhimisho ya kilele cha wiki ya Mazingira Duniani Wilaya ya Hai imepanda miti zaidi ya elfu moja katika maeneo mbalimbali ndani ya wilaya hiyo. Na Henry Keto Afisa Tawala Wilaya ya Hai Marry Mnyawi amewaasa wananchi wa wilaya…

3 June 2025, 19:14

Wananchi waomba vivuko ujenzi wa barabara Mbeya

Wananchi wa Mbeya walia na ukosefu wa vivuko salama wakati ujenzi wa barabara ya njia nne ukiendelea Na Samwel Mpogole Wakati ujenzi Barabara ya njia nne ukiendelea jijini Mbeya, Baadhi ya wananchi wameiomba serikali kuboresha miundombinu ya  njia mbadala ikiwemo…