Sibuka FM

Uncategorized

21 March 2024, 7:05 pm

TARURA kutumia zaidi bil. 4.1 ukarabati wa miundombinu Maswa

Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA)Wilayani Maswa Mkoani Simiyu wanatarajia kuzifanyia marekebisho Barabara zenye mtandao wa Km,227.21 zilizoathiriwa na Mvua za msimu. Na. Alex Sayi Wakala wa Barabara za Mjini na Vijijini (TARURA) imeendelea na matengenezo ya barabara…

11 March 2024, 5:43 pm

Ongezeko la mamba mto Simiyu latishia maisha ya wananchi

Na,Alex Sayi-Simiyu Mamlaka ya Usimamizi Wanyamapori Tanzania TAWA Kanda ya Ziwa, wabainisha kuwa  uwepo wa mtawanyiko wa Maji kutokana na Mvua zinazoendelea kunyesha kwa hivi sasa kumechangia ongezeko la Mamba mto Simiyu hivyo kuhatarisha maisha ya wananchi wanaoishi karibu na…

18 February 2024, 3:43 pm

Baraza la madiwani laridhia kuvunjwa mamlaka ya mji mdogo Maswa

Na Nicholaus Machunda Baraza  la  Madiwani  la  Halmashauri  ya   Wilaya ya  Maswa  kwa Kauli  moja  limeridhia  kuvunjwa  kwa  Mamlaka  ya  Mji  mdogo  Maswa  kwakushindwa  kukidhi  vigezo  na  Kuazimia  kuanzisha  Mchakato  wa  Kupata  Halmashauri  mbili.https://maswadc.go.tz/ Azimio  hilo  lilitolewa    na  Mkrugenzi  Mtendaji …

1 February 2024, 8:09 pm

DC  Kaminyoge:  Elimu ya Kisheria  iendelee  kutolewa kwa Wananchi   

Mkuu  wa  Wilaya  ya  Maswa   Mkoani  Simiyu  Mhe,  Aswege  Kaminyoge  amewataka  wadau  wa  Sheria   kuendelea  kutoa  Elimu  kwa  Wananchi  kwani  wanawategemea  sana  katika  Utoaji  wa  Haki. Hayo  ameyasema  katika  kilele  cha  Wiki  ya  Sheria  katika  Viwanja   vya  Mahakama  ya  Wilaya …

16 November 2023, 8:38 pm

DC Maswa atekeleza agizo la Makonda, akabidhi ng’ombe 20

Na Nicholaus Machunda Mkuu  wa   wilaya  ya  Maswa  mkoani  Simiyu Mh.  Aswege  Kaminyoge   ametekeleza   agizo  lililotolewa   na   Katibu  wa  NEC  Itikadi,  Uenezi  na  Mafunzo Paul  Makonda  akiwa  katika ziara  yake  wilayani  Busega  la  kumkabidhi   Felister  Jayunga   mama  aliyeibiwa  ng’ombe   wake. Mwenyekiti …

16 November 2023, 8:22 pm

DC Maswa aonya  wanaohujumu miundombinu ya maji

Na Nicholaus Machunda Mkuu  wa wilaya  ya  Maswa mkoani  Simiyu   Mh,  Aswege  Kaminyoge  ameonya wananchi  wanaohujumu miundombinu ya maji  yanayotoka  Ziwa Viktoria  kuja  kata  ya Sengwa  iliyopo wilayani   hapa  kupitia wilaya ya Kishapu. Mh  Kaminyoge  amesema  hayo  wakati Kamati  ya  Ulinzi  na  Usalama  ya wilaya ilipotembelea mradi  huo ambao  umekuwa ukihujumiwa  mara  kwa  mara …

18 August 2023, 10:05 am

Takukuru  Simiyu  yaokoa  milioni 500 za  mfanyabiashara

TAKUKURU mkoa wa Simiyu imeokoa mamilioni ya fedha za mfanyabiashara ambaye mali zake zingepigwa mnada kwa bei ya kutupwa. Na Nicholaus Machunda Taasisi  ya  Kuzuia  na  Kupambana  na  Rushwa nchini TAKUKURU mkoa  wa  Simiyu  imefanikiwa  kudhibiti  upotevu  wa  zaidi ya  Shilingi …

1 February 2023, 2:38 pm

Bilioni 4.2 Kutengeneza  na  Kukarabati  Barabara wilayani Maswa

Wakala  wa   Barabara  za  Mjini  na  Vijijini ( TARURA)  Wilayani  Maswa  Mkoani  Simiyu  imepanga  kutumia   Zaidi  ya  Tsh, Bilioni 4.22  kwa  mwaka  wa  Fedha 2023/ 2024  katika   Kukarabati na  Kutengeneza  Mtandao  wa  Barabara.. Akiwasilisha  Taarifa  ya  Makadirio  hayo  ya  Fedha…

30 January 2023, 4:29 pm

Takukuru yatambulisha Programu ya ”TAKUKURU-Rafiki’

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Wilayani Maswa Imezidua na Kutambalisha kwa Madiwani Programu ya TAKUKURU- RAFIKI ikiwa na lengo la Kuongeza Ushiriki wa Kila Mwananchi na Wadau mbalimbali katika kukabiliana na tatizo la Rushwa katika Utoaji wa Huduma…

25 July 2022, 6:51 pm

MASHIMBA NDAKI AWAONYA WATENDAJI WANAOTAFUNA FEDHA ZA MICHANGO YA MAE…

Waziri  wa  Mifugo  na  Uvuvi   na  Mbunge  wa  Jimbo  la  Maswa  Magharibi  Mh  Mashimba  Mashauri  Ndaki  amewaonya  watendaji  wa  vijiji  na  Kata  wanaotafuna  Fedha  za  Michango  ya   Maendeleo  ya  Wananchi wanazowachangisha  kisha  kutowasomea  Mapato  na  Matumizi na   kuwapa  Mrejesho. Waziri  …

25 March 2021, 3:58 pm

Maelfu ya wananchi Mkoa Simiyu wamlilia JPM

Maelfu ya wananchi mkoani Simiyu wamejitokeza kwa wingi katika misa takatifu ya kumuombea aliyekuwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania hayati Dkt.John Pombe Magufuli ikiwa na lengo la kumuombea kwa MUNGU apumzike kwa amani milele. Akiongoza maelfu ya wananchi…

24 March 2021, 12:24 pm

Wananchi wilayani maswa wamlilia Dr Magufuli

Wananchi wilayani Maswa mkoani Simiyu wameeleza kuhuzunishwa na kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati mh Dokta John Joseph Pombe Magufuli.. Wakiongea na Sibuka fm kwa nyakati tofauti wamesema kuwa Hayati Magufuli amefanya mambo mengi kwa…