Recent posts
8 November 2024, 10:44 pm
DC Ruangwa: Hatutaangalia chama, ukiibua taharuki sheria itafuata mkondo wake
Mkuu wa wilaya ya Ruangwa Hassan Ngoma amewataka madiwani , Viongozi mbali mbali wa vyama vya siasa kutoibua taharuki yeyote itakayovuruga amani kipindi cha uchaguzi wa serikali za mtaa bali wawe sehemu ya kuleta amani katika jamii na kuleta suluhisho…
1 November 2024, 3:15 pm
Walimu wakuu 554 mkoani lindi wapewa mafunzo ya uongozi
Na Mwanne Jumaah Wakala wa Maendeleo ya usimamizi wa Elimu (ADEM) kupitia Mradi wa boost wamewajengea uwezo walimu wakuu 554 juu ya uongozi, usimamizi na uendeshaji wa shule kutoka Katika Wilaya tano za Mkoa wa Lindi Mratibu wa Mafunzo hayo…
17 September 2024, 10:25 am
Awamu ya pili madaktari bingwa wa mama Samia waweka kambi Lindi
Na Hadija Omary Wananchi Mkoani Lindi wametakiwa kutumia siku sita za ujio wa madaktari bingwa na ubingwa bobezi wa Rais Samia kupata huduma za kibingwa kwa karibu katika hospitali za Wilaya za Mkoa huo Rai hiyo imetolewa na Mganga Mkuu…
14 September 2024, 8:12 am
Lindi yatenga million 15 ujenzi matundu ya vyoo shule ya msingi Sinde
MANISPAA YA LINDI YATENGA MILIONI 15 UJENZI WA MATUNDU YA VYOO SHULE YA MSINGI SINDE . NA HADIJA OMARY Lindi Halmashauri ya Manispaa ya Lindi imeamua kutenga kiasi cha milioni 15 kwa ajili ya ujenzi wa matundu 8 ya vyoo…
5 September 2024, 6:04 pm
Mwalimu afungwa jela maisha kubaka mtoto wa miaka 7
Na Khadja Omary Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Lindi imemuhukumu Hassan Saddi, mwenye umri wa miaka (28) mkazi wa Mchinga Mkoani Lindi kutumikia adhabu ya kifungo cha maisha jela na kumlipa muhanga fidia ya shilingi Laki Tano (500,000/=) kwa…
5 September 2024, 5:47 pm
DC Ngoma apiga marufuku wazazi kuwasubiri watoto maeneo ya shule na kuwapigisha…
Na loveness DanielyMkuu wa wilaya ya Ruangwa Hassan Ngoma amepiga marufuku wazazi wenye watoto wanaomaliza darasa la saba wenye tabia ya kuwasubiria viwanja vya shuleni kwa lengo la kuwalaki na kuwazungusha mitaani kwa kutumia bodaboda,bajaji,nk Marufuku hayo yametokana na madhara…
23 August 2024, 12:13 pm
PM Majaliwa awataka wazazi kupeleka watoto shule Ruangwa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wazazi wahakikishe vijana wao wanakwenda kusoma kwenye shule za sekondari kwani bila elimu hawawezi kufika mbali. “Wazazi wenzangu hakikisheni vijana wenu wanaenda shule,Hatuwezi kufika mbali kama vijana wetu hawaendi shule. Tunajenga shule kila mahali, tunataka…
23 August 2024, 9:25 am
Kifungo cha maisha kwa kubaka mtoto wa miaka 4 Ruangwa
Mahakama ya Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi imemhukumu kifungo cha maisha jela kijana Issa Mushizo (23) mkazi wa Nandanga wilayani Ruangwa kwa kosa la kubaka mtoto mwenye umri wa miaka minn (jina limehifadhiwa). Mtuhumiwa alitenda kosa hilo 10 Januari 2024…
15 February 2024, 10:28 pm
Ruangwa wazindua zoezi la chanjo ya surua, rubela
Ruangwa yazindua zoezi la chanjo ya surua na rubela
15 February 2024, 8:49 pm
CBT yawanoa VEOs, maafisa ugani, makarani kidigtali zaidi
Bodi ya Korosho Tanzania yawanoa maafisa ugani,watendaji kata na makarani Ruangwa.