Ruangwa FM

Ruangwa yaongoza matokeo kidato cha pili mkoa wa Lindi

8 January 2025, 11:58 am

Jedwali la kuonesha matokeo ya mtihani wa upimaji kitaifa wa kidato cha pili mkoa wa Lindi

Hali ya elimu wilaya ya Ruangwa inazidi kuimarika kulinganisha na mwaka 2023 kimkoa ilikua ya mwisho, kwa mwaka 2024 imekua ya kwanza kimkoa.

Na Joshua Jeremiah

Kati ya wilaya sita zinazopatikana mkoa wa Lindi wilaya ya Ruangwa imeshika nafasi ya kwanza kwa ufaulu wa 96.80% katika matokeo ya upimaji wa mtihani wa kidato cha pili mwaka 2024.

L