Nuru FM

kijamii

3 June 2025, 11:45 am

CAHE yawapa tabasamu watoto wenye uhitaji

Taasisi ya CAHE imekuwa ikisaidia na kutatua changamoto za kijamii, hasa zinazowakumba watoto Na Ayoub Sanga Taasisi isiyo ya kiserikali ya Caring Hearts (CAHE) imeadhimisha miaka mitatu tangu kusajiliwa kwake kwa kutembelea Kituo cha kulelea watoto yatima na wenye mahitaji…

18 May 2025, 8:51 pm

Mwl Silvester apata kitimwendo cha umeme na miguu saidizi

Mwalim Silvester aliyekosa tabasamu kwa miaka 6 baada ya kupata ajali iliyompa ulemavu ameanza safari mpya ya maisha baada ya kupatiwa kitimwendo cha umeme, miguu saidizi na toyo ya kumuingizia kipato. Na Hafidh Ally na Fredrick Siwale Hatimaye Mwalimu wa…

18 May 2025, 6:00 pm

Mchungaji kutekwa Arusha mapya yaibuka

Na Joel Headman Saa chache baada ya kupatikana kwa mchungaji wa kanisa la huduma ya Kristo lililopo Kata ya Muriet mtaa wa FFU mkoani Arusha Steven Jacob, mapya yameibuka leo kanisani kwake Ibada ya leo Jumapili iliyofanyika kanisani hapo, imeshuhudiwa…

12 May 2025, 2:36 pm

Wazazi wapeni watoto elimu ya kijinsia bila kupepesa macho

Toka kuundwe kwa dawati la kijinsia katika shule hiyo wanafunzi wamepata elimu ya kufahamu  madhara ya mimba za utotoni na kufahamu namna ya kuepuka vishawishi Na Theresia Damasi Katika kuhakikisha ukatili dhidi ya watoto unakomeshwa na kupingwa vikali katika jamii,Shule…

12 May 2025, 2:09 pm

Karafuu kuwa mkombozi wa chakula shuleni

Suala la lishe nchini limekuwa ni tatizo kubwa ambalo serikali imejizatiti ili kuondoa kadhia hiyo ambayo imekuwa ikisababisha wananchi kupata matatizo ya kiafya kutokana na kukithiri kwa lishe duni . Na Asha Madohola Katika kuhakikisha wanafunzi wote wanapata chakula cha…