Kahama FM

Mbunge Idd Kassim amekabidhi jumla ya Baskeli 92 kwa Wenyeviti wote wa Vijiji wanaunda Jimbo la Msalala.

May 6, 2025, 1:29 pm

Akikabidhi Baskel hizo mbele ya Mwenyekiti wa Umoja wa vijana Taifa UVCCM Mohamed Kawaida (Pichz na Sebastian Mnakaya)

Baskali hizo zieende kuwasaidia wenyeviti hao katika kutekeleza majukumu yao kusimamia Ilani ya Chama hicho

Na Sebastian Mnakaya

Mbunge wa Jimbo la Msalala lililopo wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga Idd Kassim amekabidhi jumla ya Baskeli 92 kwa Wenyeviti wote wa Vijiji wanaunda Jimbo la Msalala.

Akikabidhi Baskel hizo mbele ya Mwenyekiti wa Umoja wa vijana Taifa UVCCM Mohamed Kawaida kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Bugarama, ambapo amesema kuwa baskilizi hizo zitakwenda kuwasaidia katika majumu ya kutekeleza ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Sauti ya Mwenyekiti wa Umoja wa vijana Taifa UVCCM Mohamed Kawaida

Naye, mbunge wa jimbo hilo Kassim Idd  amesema kuwa, lengo la kuwapa baskeli hizo ni kurahisisha utoaji wa huduma kwa Wananchi katika utekelezaji wa majukumu ya chama.

Sauti ya mbunge wa jimbo la Msalala Kassim Idd
Mbunge wa jimbo Msalala Kassim Idd akizungumza na wananchi

MwenyekitiKwa upande wao wenyeviti hao wakizungumza kwa nyakati tofauti wamemshukuru mbunge huyo kwa kuwapatia basikali hizo ambazo zitawasaidia kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo katika maeneo yao na kuisimamia ilani ya chama cha Mapinduzi (CCM)

Sauti ya wenyeviti mbalimbali wakizungumza baada ya kukabithiwa baskeli hizo