Kahama FM
Kahama FM
March 30, 2021, 1:03 pm

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limemthibitisha DKT. PHILIP MPANGO kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa 100%, Wabunge waliopiga kura ni 363 na wote wamepiga kura ya NDIO, hakuna kura iliyoharibika.