Jamii FM

Mitungi ya Gesi

20 October 2021, 18:48 pm

Makala: Nafasi ya wanawake katika Tasnia ya Habari

Wananwake katika tasnia ya habari na Vyombo vya habari ni makala ambayo imeandaliwa ili kuangalia nafasi yake, Fursa na changamoto zilizopo katika mkoa wa Mtwara. Karibu katika makala haya ili uweze kujua masuala mbalimbali yanayofanywa na wanawake katika vyumba vya…

19 October 2021, 14:51 pm

Makala: Kilimo Biashara ndani ya Mtwara

Karibu usikilize Makala ya Kilimo biashara ambapo tumezungumzia mazao mbalimbali pamoja na hali ya biashara ya mazao haya ndani ya mkoa wa Mtwara, Ungana na Musa Mtepa katika makala haya.

18 October 2021, 16:21 pm

Makala: Upatikanaji wa mikopo kwa wanawake

Makala haya yameandaliwa na Habiba Mpimbita kuhusu thamani ya mwanamke na safari hii anaangalia uelewa wa wanawake kama wanafahamu juu ya mikopo inayotolewa na halmashauri juu ya wajasiliamali.

9 July 2021, 16:30 pm

VIKUNDI 52 KUKOPESHWA MILIONI 205 MTWARA

Na Karim Faida. Jumla ya vikundi 52 kutoka Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara, wamepewa mkopo wenye thamani ya Tsh 205,047,000. Hayo yametanabaishwa na Afisa maendeleo ya jamii manispaa ya Mtwara mikindani mkoani hapa Bi Juliana Manyama jana katika hafla…

28 June 2021, 06:29 am

WAJIFUNGUA KWA TOCHI MTWARA

Na Karim Faida Wanawake wa kijiji cha Kilombero kata ya Mahurunga mkoani Mtwara wameiomba serikali kuwawekea umeme katika Zahanati ya kijiji hicho kwa kuwa wanapitia mazingira Magumu ya kujifungualia kwa mwanga wa tochi za simu majira ya usiku na nguzo…

21 May 2021, 04:58 am

Tunaomba barabara ikamilike

Na Karim Faida Wananchi wa Mtaa wa Kagera kata ya Magomeni Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani hapa wameiomba serikali kuwawekea kifusi kwenye Karavati lililojengwa na kukamilika katika barabara itokayo Stendi kuu ya Mabasi Mkoa wa Mtwara Chipuputa, na kutokezea kwenye…

5 May 2021, 16:31 pm

Wafanyabiashara wa Soko la Chuno, wafanya vurugu

Na Gregory Millanzi Wafanyabiashara katika soko la Chuno Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara wameilalamikia serikali kuruhusu wafanyabiashara wa soko la sabasaba kufanya Biashara katika soko hilo ambalo mkuu wa mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa aliamuru biashara zote za jumla…