Jamii FM

Mitungi ya Gesi

1 April 2023, 23:07 pm

Uzinduzi wa Mwenge na mafanikio ya kupambana na UKIMWI

Na Mussa Mtepa Waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Kasim Majaliwa amewataka wakimbiza mwenge kitaifa kukagua na kujiridhisha na ubora wa Miradi ya Maendeleo itakayokaguliwa ili ilingane na thamani ya fedha zilizotolewa kwenye mradi husika na kuahidi kuzifanyia kazi taarifa zote…

30 March 2023, 18:29 pm

Waziri Mkuu Majaliwa kuwasha mwenge wa Uhuru Mkoani Mtwara

Mwenge wa Uhuru wa Tanzania unatarajiwa kuwashwa Mkoani Mtwara Ili kuanza kuzunguka Tanzania nzima kwaajili ya kujenga amani na mshikamano wa Taifa kwa mwaka 2023 Na Mussa Mtepa WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Mbio…

27 March 2023, 11:18 am

Kipindi: Elimu ya ugonjwa surua na rubella

Na Gregory Millanzi, Mwanahamisi Chikambu na Mussa Mtepa Utoaji wa chanjo ya surua na rubella kwa watoto umeanza kwa awamu ya dharula baada ya uwepo wa mlipiko wa magonjwa hayo ambayo yanawaadhiri watoto. Kupitia kipindi cha dira ya asubuhi tumewapata…

Mwanafunzi mjamzito

8 March 2023, 23:06 pm

Watoto 8,172 wapata ujauzizo mkoani Mtwara

Na Mohamed Massanga Watoto zaidi ya 8,172 wenye umri wa kuanzia miaka 10 hadi 19, wameripotiwa kupata Mimba Mkoani Mtwara kuanzia mwezi Januari hadi Disemba mwaka 2022. Akizungumza leo Machi 8, 2023 katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Mwanamke…

7 March 2023, 00:12 am

Mhe. Waziri Ndalichako awasili Mtwara

Na Mohamed Massanga Waziri wa Nchi – Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amewasili mkoani Mtwara leo Machi 6, 2023 kwa ziara ya siku mbili kwa lengo la kukagua maendeleo ya maandalizi ya Uzinduzi wa Mwenge…

18 February 2023, 19:09 pm

TPA yatakiwa kuitafutia masoko Bandari ya Mtwara

Na Musa Mtepa Naibu katibu mkuu wizara ujenzi na Uchukuzi Mhe. Dk Ally Possi ameitaka Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kwa kushirikiana na Serikali kutafuta masoko ya kuiwezesha Bandari ya Mtwara kufanya kazi kikamilifu kutokana na uwekezaji uliopo hivi sasa…

Mkuu wa mkoa akiwa kwenye matembezi ya Hisani

18 February 2023, 17:41 pm

Wakuu wa Wilaya watakiwa kuhakiki ubora wa Miradi ya Mwenge

Na Musa Mtepa Wakuu wa wilaya na wataalamu ngazi zote wametakiwa kukagua nyaraka mbalimbali zinazotakiwa kuwepo kwenye miradi itakayopitiwa wakati wa mbio za mwenge mkoani mtwara kutekelezwa kwa ubora ili kuepuka ubadhirifu unaoweza kujitokeza. “Navielekeza vyombo vinavyotakiwa kuchukua hatua watakapo…

Wanawake wanabangua korosho

31 January 2023, 12:07 pm

Wanawake washauriwa kukuza kipato cha familia

“Wanawake wa Mkoani Mtwara wameshauriwa kupambana katika kutafuta  na kuongeza kipato cha familia  na kuachana na tabia ya kuwaacha wanaume pekee katika kutekeleza majukumu ya Nyumbani.“ Na Mohamed Massanga Akizungumza na Jamii fm Radio Mwenyekiti wa kikundi cha ‘’LIYAKAYA  WOMENI GROUP’’…

30 November 2022, 13:12 pm

Kujihusisha na kilimo cha Bangi, kifungo cha miaka 30 jela

Na Gregory Millanzi. Afisa sheria Mkuu wa Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za Kulevya nchini, Christina Rweshabura amesema kuwa ukibainika kujihusisha na kilimo cha bangi na Mirungi , sheria inatoa kifungo cha miaka 30 jela. Rweshabura amesema kuwa,…