Mitungi ya Gesi
28 July 2022, 19:12 pm
Balozi wa Sweden atembelea Waandishi wa Habari Mtwara
Balozi wa Sweden 🇸🇪 nchini Tanzania Anders Sjöberg, leo julai 28,2022 ametembelea katika ofisi za Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Mtwara (MTPC) zilizopo katika jengo la Chama cha waalimu – CWT, mkoani humo. Balozi huyo amepokelewa na viongozi…
21 July 2022, 12:28 pm
Wananchi wamkataa Diwani wa kata ya Nanguruwe Mkoani Mtwara
wananchi wa kata ya Nanguruwe mkoani mtwara katika Halmashsuri ya wilaya ya mtwara mkoani mtwara wamemkataa Diwani wa kata hiyo Patrick Simwinga baada ya kutokea kwa vurugu katika eneo lake la utawala. chanzo cha wananchi kumkataa diwani huyo ni vurugu…
24 March 2022, 12:29 pm
Mtwara waweka Mikakati ya Kupunguza vifo vya Mama Wajawazito
Na Gregory Millanzi. Mikakati mingine iliyowekwa na Mkoa ili kuhakikisha inapunguza vifo vitokanavyo na uzazi ni kuhakikisha gari la kubeba Wagonjwa (Ambulance) katika vituo vya afya na Hospitali zinafanya kazi muda wote ili kuimarisha mfumo wa Rufaa kutoka ngazi…
5 March 2022, 17:00 pm
RC Gaguti: Wanamtwara tujitokeze kesho kwenye uwanja wa Mashujaa
Mkuu wa mkoa wa Mtwara Mhe. Brig. Jen. Marco Gaguti kwa kushirikiana na taasisi ya “Bega kwa Bega na Mama” imewaomba wanamtwara kujitokeza kwa wingi siku ya kesho tarehe 06/03/2022 katika kusherehekea mwaka mmoja kwa serikali ya awamu ya sita…
24 February 2022, 12:37 pm
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara ataka mkoa ufikie afua ya lishe ya kitaifa
Na Gregory MillanziMkuu wa Mkoa wa Mtwara Brigedia Jenerali Marco Gaguti amewataka wadau wa lishe katika mkoa huo kuwajibika ipasavyo katika nafasi zao ili kufikia viwango vilivyowekwa kitaifa katika usimamizi wa afua za lishe. Gaguti amesema hayo kwenye kikao cha…
17 February 2022, 23:46 pm
SDA yapaza sauti juu ya unyanyasaji wa kijinsia
Na Amua Rushita Shirika la maendeleo ya michezo (SDA) Mtwara kupitia mradi wa kuwawezesha wabinti kupaza sauti, wameendesha Semina ya siku mbili juu ya kuwapa elimu ya namna ya kupambana na unyanyasaji wa kijinsia, semina hiyo imefanyika katika ukumbi wa…
11 February 2022, 11:53 am
Ngedere na Tumbili wavuruga shughuli za kilimo
Wanyama pori (Tumbili na Ngedere) wamekuwa kikwazo kwa wananchi kufanya shughuli za kilimo kwa ufasaha kwa baadhi ya kata za Halmashauri ya Mtwara vijijini hali inayopekea kukatamaa na shughuli hizo. Akichangia Taarifa ya kamati ya uchumi ,ujenzi na Mazingira Diwani…
3 December 2021, 15:51 pm
Halmashauri kuu CCM Newala watoa azimio la kero ya Maji kwa serikali
“Baada ya kuona Hali ya Maji Wilaya ya Newala inaporomoka poromoka kila mwaka, na wakati mwingine wakati Nagombea Ubunge Maji huwa yanapatikana kwa asilimia 60, Wabunge wote wa Mtwara tulikubaliana kuonana na Waziri wa Maji na tukampa kilio chetu, Waziri…
25 November 2021, 11:37 am
Tume ya Haki za Binadamu watoa elimu
“Hatuwezi kufanya peke yetu tunajua kwamba Tume ni Taasisi huru ya Serikali lakini lazima tufanye kazi kwa pamoja kwahiyo ni wajibu wetu mkubwa kama alivyosema ndugu yangu Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa tuendelee kuelimisha ndugu zetu Wananchi kwenye maeneo mbalimbali lakini…
25 November 2021, 11:26 am
Walemavu waomba kupewa kipaumbele cha Elimu na Ujuzi
uwepo wa mikataba ya ya haki za watu wemye ulemavu Tanzania inafuatwa? uwepo wa taasisi zinazosaidia watu wenye ulemavu wanafikia malengo na wahusika wanapewa stahiki klulingana na miradi husika? Mr. Kaganzi Na MUSSA MTEPA; Serikali na taasisi binafsi zimetakiwa kutenda…