Mtwara news
15 May 2024, 21:33 pm
Watuhumiwa 14 wakamatwa kuhusika na mali za wizi Mtwara
Napenda kuwajulisha wananchi kuwa mkoa wa Mtwara upo shwari dhidi ya uhalifu na Elimu ya kuzuia na kutanzua imeendelea kutolewa kwa wananchi kupitia wakaguzi wa kata katika maeneo mbalimbali ya mkoa. Na Musa Mtepa Jeshi la polisi mkoa wa Mtwara…
15 May 2024, 20:00 pm
RC Sawala awataka wananchi kutoa ushirikiano dhidi ya vitendo vya ukatili
Taasisi zinazohusika na utoaji wa haki na kusimamia masuala haya kuyatendea haki ili kuendelea kumlinda mtoto na mwanamke na mtanzania kwa ujumla ili awe salama zaidi. Na Musa Mtepa Wananchi wameombwa kushirikiana na serikali katika kuelimisha jamii kuachana na vitendo…
23 April 2024, 16:58 pm
RC Mtwara akabidhi vifaa vya TEHAMA kwa walimu
Vifaa hivi vitasaidia walimu kupakua na kujiongezea maarifa kupitia mtandao ambayo yatasaidia katika kuboresha hali ya ufaulu katika shule zetu Na Musa Mtepa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala Leo tarehe 23/4/ 2024 amekabidhi vifaa vya TEHAMA kwa…
22 April 2024, 16:30 pm
Watumishi wa umma watakiwa kufanya kazi kwa weledi
Inaonesha kumekuwa na ongezeko la vitendo vya utovu wa nidha kwa watu wa umma wakiwa kazini ikiwemo Rushwa na upungufu wa maadili. Na Mwanahamisi Chikambu Kamishina wa utumishi umma Balozi John Haule amewataka watumishi wa umma mkoa wa Mtwara kufanya…
10 April 2024, 23:17 pm
RPC Mtwara: Zingatieni sheria za usalama barabarani
kKuvaa kofia ngumu kwa mwendesha wa pikiki ni suala la kisheria hivyo ni wajibu kwa maafisa usafirishaji (Bodaboda) wote mkoani Mtwara na abiria wake kuzingatia sheria hiyo. Na Musa Mtepa Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara Kamishna Mwandamizi…
6 April 2024, 20:58 pm
RC Kanali Sawala aitaka jamii ya Mtwara kuliombea Amani Taifa
Mkuu wa mkoa wa Mtwara Kanal Patrick Sawala akitoa neno la shukrani kwa hadhira iliyojitokeza kufuturu hapo jana(Picha na Mtwara rs) Binadamu hakuna aliyekamilika mmoja anaweza kumkosea mwingine kwa bahati mbaya bila kutambua hivyo tuendelee kusameheana Na Musa Mtepa Mkuu…
5 March 2022, 17:00 pm
RC Gaguti: Wanamtwara tujitokeze kesho kwenye uwanja wa Mashujaa
Mkuu wa mkoa wa Mtwara Mhe. Brig. Jen. Marco Gaguti kwa kushirikiana na taasisi ya “Bega kwa Bega na Mama” imewaomba wanamtwara kujitokeza kwa wingi siku ya kesho tarehe 06/03/2022 katika kusherehekea mwaka mmoja kwa serikali ya awamu ya sita…
11 January 2022, 16:49 pm
Manispaa ya Mtwara Mkindani yapitisha Rasimu ya Bajeti ya TARURA zaidi ya shilin…
Hali ya Barabara zinazosimaniwa na TARURA ni ya kuridhisha, japo mtandao wa barabara kwa asilimia kubwa ni barabara za udongo ambazo huathiriwa kwa kiasi kikubwa kipindi cha mvua. Mhandisi Hatibu Nunu Na Gregory Millanzi Baraza la Madiwani la Halmashauri ya…
25 November 2021, 11:37 am
Tume ya Haki za Binadamu watoa elimu
“Hatuwezi kufanya peke yetu tunajua kwamba Tume ni Taasisi huru ya Serikali lakini lazima tufanye kazi kwa pamoja kwahiyo ni wajibu wetu mkubwa kama alivyosema ndugu yangu Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa tuendelee kuelimisha ndugu zetu Wananchi kwenye maeneo mbalimbali lakini…
9 July 2021, 16:30 pm
VIKUNDI 52 KUKOPESHWA MILIONI 205 MTWARA
Na Karim Faida. Jumla ya vikundi 52 kutoka Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara, wamepewa mkopo wenye thamani ya Tsh 205,047,000. Hayo yametanabaishwa na Afisa maendeleo ya jamii manispaa ya Mtwara mikindani mkoani hapa Bi Juliana Manyama jana katika hafla…