Recent posts
9 July 2024, 4:34 pm
Magereza Babati yatimiza agizo la Rais Dk Samia
Na George Augustino Baada ya agizo la Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassankuzitaka taasisi zote za serikali ikiwemo magereza kuacha kutumia kuni na mkaa na badala yake kutumia nishati safi ya kupikia ili kutunza mazingira…
3 July 2024, 4:25 pm
Mzee wa miaka 78 ambaka binti mlemavu wa miaka 10
Baada ya mzee wa miaka 78 kumbaka binti wa miaka kumi mwenye ulemavu wilayani Babati mkoani Manyara jeshi la polisi limesema linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo kutokana na matukio mengi kama hayo kutokea katika mkoa wa Manyara. Â Na…
2 July 2024, 7:46 pm
 Polisi Babati yawasaka waliohusika na mauaji ya mwizi wa bodaboda
Baada ya kijana mmoja anayedaiwa kuhusika kula njama ya kuiba pikipiki kuuliwa kwa kupigwa na kuchoma moto na madereva pikipiki maarufu bodaboda wilayani Babati mkoani Manyara, wanasakwa na jeshi la polisi kwa kuhusika na tukio hilo. Na George Augustino Jeshi la…
28 June 2024, 6:50 pm
 Serikali yatoa bil.4 ujenzi shule ya wavulana Manyara
Sendiga azindua shule ya sekondari ya wasichana ya mkoa wa Manyara ambayo inatarajia kupokea wanafunzi wakike 142 wa kidato cha tano wa mchepuo wa masomo ya Sayansi kutoka mikoa mbalimbali nchini. Na George Augustino Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen…
28 June 2024, 5:15 pm
BoT yazitaka taasisi za kifedha Manyara kujisajili
Wananchi mkoani Manyara wametakiwa kutokuchukua mikopo kwa wakopeshaji binafsi ili kuondokana na riba kandamizi pamoja na kujua  sheria itakayo mlinda pindi anapochukua mkopo katika Taasisi za kifedha Na Emmy Peter Tasisi za huduma ndogo za fedha zinazokopesha fedha wilayani Babati mkoa wa…
28 June 2024, 4:51 pm
Jamii Manyara yatakiwa kupinga vitendo vya kikatili
Ili kupunguza vitendo vya kikatili vinavyoendelea nchini, wazazi mkoani Manyara wametakiwa kuwalea watoto wao na kuwapa malezi bora yatayowakinga na ukatili unaofanyika katika familia na mitandao. Na Angel Munuo Wazazi na walezi wilayani Babati mkoani Manyara wametakiwa kuwalea watoto wao…
25 June 2024, 4:06 pm
Wajasiriamali tumieni masoko Kimataifa
kutokana na Soko la ndani kuwa huru wanawake wajasiriamali mkoani Manyara wametakiwa kuzingatia ubora wa bidhaa  wanazo zalisha Ili kuendeleza masoko ya ndani na nje ya nchi ili kuwainua kiuchumi kutokana na fursa zilizopo. Na Angela Munuo Wanawake wajasiriamali wilayani…
25 June 2024, 1:29 pm
Manyara yatajwa kuwa na asilimia 32 ya udumavu
Licha ya mkoa wa Mnyara kuwa na uzalishaji mkubwa wa vyakula mbali mbali hali ya udumavu imeonekana kuwa juu hasa katika maeneo ya kata ya Bashay iliyopo wilaya mbulu vijijini Na Marino Kawishe Mkoa wa Manyara umetajwa kuwa na silimia…
20 June 2024, 8:45 pm
 Kamanda Katabazi azindua daraja la Mapea
Changamoto ya muda mrefu iliyokuwa inawakabili wakazi wa kijiji cha Matufa kwa kukosa daraja na wananchi kushindwa kupita katika eneo hilo ambalo lilikuwa linatumika kufanyia vitendo vya uhalifu limetatuliwa. Na Angel Munuo Kamanda wa polisi mkoani Manyara Geogre Katabazi amezindua…