Recent posts
15 March 2024, 11:27 pm
Watatu wauawa akiwemo mama mjamzito Manyara
Polisi Manyara inamshikilia  Ahita Dahachi (42), kwa tuhuma za kumuua mama yake mzazi na mama mjamzito. Na Mzidalfa Zaid Jeshi la Polisi mkoani Manyara linamshikilia  mtu mmoja aliyefahamika  kwa jina la Ahita Dahachi (42), kwa tuhuma za kuwaua watu watatu…
15 March 2024, 11:14 pm
RC Manyara aagiza wakurugenzi kusimamia miradi
Sendiga amewataka wakurugenzi wa halmshauri  za mkoa wa Manyara kusimamia miradi ya kimkakati. Na Mzidalfa Zaid Mkuu  wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga amewataka wakurugenzi wa halmshauri zote za mkoa wa Manyara kuhakikisha miradi yote ya kimkakati inatekelezwa kwa wakati kutokana na…
8 March 2024, 11:03 am
Wagonjwa 10 wa kipindupindu waruhusiwa Mrara
Wagonjwa waliokuwa wanaugua ugonjwa wa kipindu pindu waruhusiwa baada ya kupatiwa matibabu. Na Mzidalifa zaid Wagonjwa 10 waliokuwa wanaugua ugonjwa wa kipindupindu katika hospitali ya mji mrara wilayani babati mkoani manyara wameruhusiwa baada ya kupatiwa matibabu ambapo wananchi wametakiwa kuendelea …
7 March 2024, 3:56 pm
Nida Manyara yatoa zaidi ya Vitambulisho laki tatu
Nida mkoa wa Manyara yafanikiwa kutoa zaidi ya vitambulisho laki tatu kwa wananchi wa mkoa wa Manyara. Na Hawa Rashid Mamlaka ya vitambilisho vya Taifa Nida mkoa wa Manyara imeafanikiwa kutoa zaidi ya vitambulisho laki tatu kwa wananchi wa mkoa…
23 February 2024, 5:53 am
Maafisa lishe, ustawi wa jamii watakiwa kutoa elimu ya malezi bora kwa watoto
Serikali mkoani Manyara imewataka maafisa lishe na maafisa ustawi jamii kutoa elimu kwa wazazi katika mikutano mbalimbali ya kijamii namna ya kumuandaa mtoto kwa kumlea katika malezi bora Na Mzidalfa Zaid Serikali mkoani Manyara imewataka maafisa lishe na maafisa ustawi…
23 February 2024, 5:41 am
Kichanga chaokotwa katika shimo la kuhifadhia maji taka Babati
Na Emmy perter Mwili wa mtoto mchanga umeokotwa leo katika chemba ya kuhifadhia maji taka katika mtaa wa mji mpya nyumba ya ndugu Raeli wanayoishi wapangaji katika kata ya Maisaka wilayani Babati mkoani Manyara. Mwenyekiti wa mtaa huo John Mosko …
22 February 2024, 6:31 pm
Wananchi watakiwa kutowanyanyapaa waraibu wa dawa za kulevya
Jamii mkoani Manyara imetakiwa kuacha tabia ya kuwanyanyapaa waraibu wa dawa za kulevya na badala yake wawaunganishe na vituo vya tiba. Na Mzidalfa Zaida Jamii mkoani Manyara na Kanda ya Kaskazini kwa ujumla imetakiwa kuacha tabia ya kuwanyanyapaa waraibu wa…
21 February 2024, 5:57 pm
Polisi Manyara watumia mabomu ya machozi kutawanya wananchi
Jeshi la polisi mkoani Manyara lalazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi walioandamana bara bara kuu ya Babati -Arusha kufuatia kuuliwa kwa mtoto wa miaka saba Jeshi la polisi mkoani Manyara limelazimika kutumia mabomu ya machozi ili kuwatawanya wananchi waliokuwa…
20 February 2024, 7:14 pm
Mtoto wa miaka 7 Babati auwawa kwa kutenganishwa kichwa, kiwiliwili
Na Mzidalfa Zaid Mtoto mwenye umri wa miaka saba ambaye ni mwanafuzi wa chekechea ameuwawa kwa kuchinjwa na mtu asiyejulikana katika kijiji cha Mapea kata ya magugu wilayani babati mkoani Manyara. Akizungumzia tukio hilo Mwenyekiti wa kijiji cha Mapea Filmon…
16 February 2024, 7:21 pm
Tosci yawataka wakulima kutoa taarifa wanapouziwa mbegu zisizo na ubora
Wananchi mkoani Manyara wametakiwa kutoa taarifa kwa Taasisi ya kudhibiti ubora wa mbegu Tanzania (TOSCI) wanapobaini wameuziwa mbegu bandia. Na Mzidalfa Zaid Wananchi mkoani Manyara wametakiwa kutoa taarifa kwa Taasisi ya Kudhibiti Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) wanapobaini wameuziwa mbegu bandia…