Recent posts
18 April 2024, 12:05 pm
Zimamoto yatoa tahadhari ya mvua Manyara
kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha na kuleta madhara katika maeneo mengi nchini wananchi wanaoishi mabondeni wametakiwa kuhama Na Emmy peter Wananchi mkoani Manyara wametakiwa kuendelea kuchukua Tahadhari kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha nchini kwa baadhi ya maeneo ambapo barabara na…
18 April 2024, 11:44 am
Mitandao ya kijamii yachangia mmomonyoko wa maadili
Sababu ya kuongezeka kwa mmomonyoko wa maadili kwa watoto yatajwa wazazi ndio sababu kubwa kwa kuwaachia simu za mkononi watoto wao. Na George Augustino Jamii mkoani Manyara imetakiwa kuwalea watoto wao katika misingi imara na yenye maadili ya kitanzania kwa…
15 April 2024, 11:14 pm
Gekul ashinda rufani
Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Manyara yatupilia mbali shauri la rufani yajinai dhidi ya Hashimu Ally na Pauline Gekul Na George Agustino Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Manyara imetupilia mbali shauri la rufani yajinai namba 577 la mwaka…
11 April 2024, 6:16 pm
Sendiga aitaka Babati mji kutafuta ufumbuzi wa taka
Halmashauri ya mji wa Babati yatakiwa kutafuta magari ya kuzolea taka. Na Angel Munuo Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga ameitaka Halmashauri ya mji wa Babati kuhakikisha wanatafuta ufumbuzi wa kupata magari ya kuzolea taka wakati wakijipanga kupata gari…
9 April 2024, 3:05 pm
Wananchi Manyara watakiwa kuchukua tahadhari ya mvua
Wananchi waishio mabondeni mkoani Manyara wametakiwa kuchuku tahadhari. Na George Agustino Wananchi mkoani Manyara wanaoishi katika maeneo ya mabonde na kwenye miteremko wametakiwa kuchukua tahadhari katika kipindi hiki cha mvua kubwa za masika zinazoendelea kunyesha kwa mwezi huu wa April…
9 April 2024, 2:47 pm
 NHIF yaboreha kitita cha mafao
Jamii mkoani Manyara imetakiwa kujiunga na mfuko Taifa wa bima ya Afya. Na George Agustino Jamii mkoani Manyara imetakiwa kujiunga na mfuko wa Taifa wa bima ya afya NHIF ili kuepuka gharama kubwa za matibabu wanapokwenda kupata huduma za matibabu…
3 April 2024, 5:05 pm
Mkoa wa Manyara wapaa mashindano Tajwid
Shekhe Kadidi aipongeza BAKWATA kwa kuuheshimisha mkoa wa Manyara Na mwandishi wetu Hawa Rashid Shekhe mkuu wa mkoa wa Manyara Mohamed Kadidi amelishukuru baraza kuu la wa Islam Tanzania BAKWATA kwa kuuheshimisha mkoa wa Manyara katika mashindano yakusoma Quraan tukufu…
24 March 2024, 4:29 pm
World Vision wazindua mradi wa maji Gidabagara
Wananchi wa kijiji cha Gidabagara waishukuru World Vision kwa kuwapatia huduma ya maji safi na salama Na Christina Christian Wananchi wa kijiji cha Gidabagara wilayani Babati mkoani Manyara wamelishukuru shirika la kimataifa la kikristo World Vision kwa kushirikiana na Halmashauri…
24 March 2024, 1:34 pm
Mshauri (TCCIA ) Manyara kizimbani
Mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Manyara ya muachia huru Mshauri wa Wafanyabiashara TCCIA Na Mzidzlifa zaid Mahakama ya Hakimu Mkazi Manyara imemhukumu  Ramadhani Rashid Msangi Mshauri wa Wafanyabiashara wa Chama cha wenye viwanda na kilimo Mkoa wa Manyara (Bussines…
22 March 2024, 4:27 pm
Sakata la Gekul lapigwa kalenda
Mbunge wa Babati  mjini Pauline Gekul kusomewa hukumu ya rufaa ya jinai April 5, 2024 Na mwandishi wetu Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Manyara imepanga Aprili 15,2024 kusoma hukumu ya rufaa ya jinai iliyokatwa na Hashim Ally dhidi ya…