Podcasts

30 June 2022, 7:03 pm

Mwili wa mtu mmoja waokotwa ukiwa umeharibika Pangani.

Jeshi la Polisi Wilayani Pangani Mkoani Tanga limethibitisha kuokotwa kwa mwili wa mtu moja Mwanaume anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 24 hadi 25 aliyefahamika kwa jina Kombo Juma katika eneo la Kumba Mtoni lililopo kwenye kijiji cha Pangani…

28 June 2022, 20:46 pm

TAKUKURU Mtwara: Tunawashukuru Waandishi wa Habari na Wadau

Taasisi ya  Kupambana na Kuzuia Rushwa  (TAKUKURU) Mkoa wa Mtwara imewashukuru wananchi na taasisi mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari kwa namna ambavyo wametoa ushirikiano katika kuelimisha umma kwa  mwaka wa fedha  unaoishia Juni 30, 2022 huku TAKUKURU ikifikia malengo yake…

20 June 2022, 7:09 pm

Pangani FM kuongeza nguvu katika Sensa 2022

Kituo cha Redio Pangani FM kilichopo wilayani Pangani mkoani Tanga kinatarajia kuongeza nguvu katika kuisaidia serikali kufanikisha zoezi la sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022. Hayo yameelezwa na mhariri wa kituo hicho Bw. Erick Mallya kufuatia mafunzo maalum…

20 June 2022, 6:32 pm

Wanaume wa Pangani na malezi ya Watoto.

Wanaume wilayani Pangani Mkoan Tanga wamepewa wito wa kutimiza vyema wajibu wao katika malezi ya watoto bila ubaguzi wa kijinsia. Wito huo umetolewa na baadhi ya kina mama wilayani humo ambao kwa wamezungumza na Pangani FM. Wanawake hao wamedai kuwa…

7 June 2022, 1:46 pm

Halmashauri ya Pangani kugawa miche 544,000 ya Mkonge.

Halmashauri ya wilaya ya Pangani mkoani Tanga kupitia idara ya Kilimo imefanikiwa kukuza miche 544,000 ya zao la Mkonge. Akizungumza katika mahojiano na Pangani FM leo Afisa kilimo wa Halmashauri hiyo Bw. Ramadhani Zuberi amesema miche hiyo imekuzwa katika vitalu…