Podcasts

30 November 2022, 18:07 pm

Ufafanuzi juu ya adhabu za kujihusisha na Dawa za kulevya

Na Musa Mtepa, Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya imejipanga kuweka adhabu kali kwa watu wote wanaojihusisha  uuzaji na madawa ya kulevya ikiwemo  Walimaji na watumiaji wa Bangi nchini. Wakiwa kwenye Wiki ya Maadhimisho ya siku ya…

November 17, 2022, 6:29 pm

Wanafufunzi kidato cha nne watakiwa kuepuka udanganyifu

Wanafunzi wa kidato cha nne wilayani Kahama mkoani Shinyanga waliotahiniwa kufanya mtihani wa taifa wa kidato cha nne wametakiwa kuepuka udanganyifu kwenye chumba cha mtihani ulioanza hii leo Novemba 14, 2022. Wito huo umetolewa leo Novemba 14,2022 na mkuu wa…

November 9, 2022, 10:12 am

Wananchi Nyandekwa waunga juhudi za maendeleo

Wananchi wa vitongoji vya kigungumli na baseka vilivyopo nyandekwa  manispaa ya kahama mkoani shinyanga  wameungana kwa ajili ya kuunga juhudi za serikali ya awamu ya sita katika maendeleo kwa kuitisha harambee yenye lengo la ujenzi wa shule ya msingi. Hatua…

25 October 2022, 12:18 pm

Wagawa Mizinga 40 ya Nyuki Pangani

Taasisi ya Foundation for Trees Tanzania iliyopo Jijini Tanga  imetoa Mizinga 40 ya Nyuki kwa Kikundi cha Ufugaji Nyuki cha MSETO kilichopo Wilayani Pangani ili kuwezesha wananchi hao kufanya shughuli za ufugaji na kuachana na uharibifu wa Mazingira. Akizungumza wakati…

19 October 2022, 2:50 pm

Mpango wa Ofisi ya Umwagiliaji Pangani.

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekusudia kuanzisha Ofisi ya umwagiliaji wilayani Pangani ili kusaidia sekta ya kilimo wilayani humo ambayo imeonekana kuathiriwa na mabadiliko ya tabia nchi huku wahanga wakubwa wakitajwa kuwa ni wakulima wadogo   Katika mahojiano…