Podcasts
29 August 2023, 1:29 pm
Huduma ya kuzalisha wajawazito yarejea kisiwani Tumbatu
Kurejea kwa huduma za kuzalisha akina mama wajawazito Tumbatu kutawaondoshea usumbufu akina mama hao kisiwani humo. Mwandaaji ni Maulid Juma na Msimulizi ni Mwanahawa Hassan.
24 August 2023, 3:37 pm
Kipindi: NGOs Pemba zafanikiwa kukabiliana na kesi za udhalilishaji
21 August 2023, 6:15 pm
Jinsi ajira kwa watoto zinavyoathiri maisha ya mtoto
Alfred Bulahya amezungumza na binti ambaye aliajiriwa katika umri mdogo lakini mwajiri wake aliamua kumuendeleza kielimu. Na Alfred Bulahya. Ajira kwa watoto inarejelea unyonyaji wa watoto kupitia aina yoyote ya kazi ambayo inawanyima utoto wao, inaingilia uwezo wao wa kuhudhuria shule ya kawaida, na inawadhuru kiakili,…
21 August 2023, 5:55 pm
Jukumu la afya ya uzazi si la mama peke yake-Dkt. Festo Mnyiriri
Na Zaituni Juma Wanaume katika Halmashauri ya Manispaa ya Tabora wamekumbushwa kujali afya ya mama mjamzito na hata baada ya kujifungua. Zaituni Juma ametuandalia taarifa ambayo imelenga ushiriki wa wazazi wote wawili (baba na mama) kwenda kliniki kwa pamoja hasa …
21 August 2023, 10:34 am
Makala – Urejeshaji masomoni kwa wasichana waliokatisha masomo
Na Musa Mtepa Mdondoko wa wanafunzi katika masomo ya sekondari kutokana na mambo mbalimbali ikiwemo mimba, selikari ya awamu ya sita imetoa jukumu kwa wazazi kuwarejesha masomoni watoto wa kike ili waweze kuendelea na masomo. Bonyeza hapa kusikiliza makala haya
19 August 2023, 4:38 pm
Makala: Mfahamu Sabah Mussa Said Afisa Msimamizi Skuli binafsi kuteuliwa kwake
19 August 2023, 11:29 am
Makala: Ufahamu ugonjwa wa Usonji
Na Grace Hamisi, Usonji (autism spectrum disorder -ASD) ni ugonjwa wa neva wa ukuaji unaoathiri namna mtu anavyoshirikiana na wenzake, anavyozungumza, anavyojifunza, na tabia yake. Ingawa usonji unaweza kugundulika katika umri wo wote, ugonjwa huu huelezewa kuwa ni ugonjwa wa…
18 August 2023, 09:32 am
Makala – Mfahamu Fatma mwenye ndoto ya kufanya biashara
Na Grace Hamisi Bonyeza hapa kusikiliza mahojiano hayo
17 August 2023, 12:48 pm
Makala: Changamoto ya Vumbi la Makaa ya Mawe kwa wananchi wa Mtwara
Na Musa Mtepa, Changamoto ya makaa ya mawe kwa wananchi wa manispaa ya Mtwara Mikindani ambapo katika makala haya utamsikia Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Raisi, Muungano na Mazingira Selemani Jafo, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara kanali Ahmed…
17 August 2023, 8:17 am