Dodoma FM

Unyonyeshaji

13 September 2023, 18:43

Umeme waleta mgao wa maji mkoani Mbeya

Maji ni uhai, viumbe wote hai wanategemea maji hata nje ya viumbe hai bado kumekuwa na uhitaji wa maji,nchi ya Tanzania imekuwa ikitegemea maji kuzalisha nishati ya umeme hivyo maji ni kila kitu kwenye shughuli yoyote ya binadamu. Na Hobokela…

28 August 2023, 1:52 pm

Busanda waomba vituo vya kuchotea maji viongezwe

Serikali kupitia wakala wa maji safi na usafi wa mazingira vijijini RUWASA imeendelea kusogeza huduma hiyo hadi maeneo ya vijijini ambayo yalikuwa yakikabiliwa na changamoto ya maji safi. Na Mrisho Sadick: Wakazi wa kijiji cha Busanda wilayani Geita wameiomba serikali…

23 August 2023, 8:19 pm

Neema ya maji yawafikia wananchi wa Chabulongo

Kukosekana kwa maji katika kijiji cha Chabulongo kumewatia moyo viongozi wa Kanisa la TAG Chabulongo kutoa msaada. Na Kale Chongela-Geita Wakazi zaidi ya 360 kunufaika na mradi wa maji katika mta wa Chabulongo, kata ya Bung’hwangoko mradi ambao umefadhiliwa na…

23 August 2023, 11:55 am

Maji ya chumvi ni kero, mkuu wa wilaya atolea ufafanuzi

Changamoto ya maji safi na salama bado ni changamoto katika baadhi ya wilaya mkoani Geita, Licha ya ukosefu wa maji akini pia chumvi ipo. Na Kale Chongela- Geita Wananchi wa Kijiji na Kata ya Bumwang’oko  Halmashauri ya mji wa Geita,…

13 July 2023, 11:58

Vijiji 8 Kigoma vyakabiliwa na ukosefu wa maji

Ukosefu wa maji katika baadhi ya vijiji vya halmashauri ya wilaya na mkoani Kigoma umetajwa kuendelea kuwatesa wananchi kwani hulazimika kutumia maji ya visima na mito yasiyokuwa safi na salama. Na, Kadislaus Ezekiel Wananchi wa vijiji vinane vya halmashauri ya…