Dodoma FM
Dodoma FM
27 September 2024, 7:35 pm
Wakati serikali ikiendelea na maandalizi ya uchaguzi wa serikli za mitaa, wananchi wilayani Babati mkoani Manyara wametakiwa kushiriki uchaguzi huo kwa amani na utulivu. Na Mzidalfa Zaid Wananchi wilayani Babati mkoani Manyara ambao wamekidhi vigezo vya kupiga kura wamehimizwa kujitokeza…
27 September 2024, 7:11 pm
Waendesha pikipiki mkoani Manyara wamesema wako tayari kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa ili kumchagua kiongozi bora. Na Mzidalfa Zaid Halmashauri ya mji wa Babati mkoani Manyara imefanya uhamasishaji kwa wananchi juu ya umuhimu wa kushiriki zoezi la kujiandikisha katika…
19 September 2024, 5:46 pm
Tume huru ya taifa ya uchaguzi imewataka wananchi kujitokeza kuboresha taarifa zao katika daftari la kudumu la wapiga kura ili kumchagua kiongozi wanaemtaka. Na Mzidalfa Zaid Wananchi wa wilaya za Simanjiro, Kiteto na Mbulu zilizoko mkoani Manyara wametakiwa kujitokeza kuboresha taarifa…
7 September 2024, 6:40 pm
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya kuzalisha vinywaji changamshi ya Mati super brands limited David Mulokozi amejitokeza kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la Wapiga kura. Na mwandishi wetu Mzidalfa Zaid Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya kuzalisha vinywaji changamshi ya Mati Super…
2 August 2024, 2:20 am
Dhana potofu kwa wakulima juu ya mbolea za viwandani imeendelea kukosesha wakulima fursa mbalimbali ikiwemo kupata mavuno mengi. Na: Evance Mlyakado – Geita Wadau wa kilimo mkoani Geita wametakiwa kufanya tafiti zenye kuleta tija ili kuwasaidia wakulima kukabiliana na changamoto…
30 July 2024, 3:27 pm
Tarehe 30 Julai,na mara zote kila mwaka huwa ni Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Usafirishaji Haramu wa Binadamu, uhalifu wa kutisha na mashambulizi kamili dhidi ya haki, usalama na utu wa binadamu. Na:Elisha Magege Ili kukabiliana na wimbi la…
3 July 2024, 10:16 am
Halmashauri ya wilaya ya Geita katika vijiji vya Nzera, Sungusira na Igate vinatajwa kwa ulimaji wa nanasi ambapo baadhi ya wananchi hujihusisha na kilimo hicho ili kujipatia kipato. Na: Evance Mlyakado – Geita Changamoto ya ukosefu wa soko la uhakika…
26 June 2024, 12:54
Duniani kote binadamu amekuwa akifanya jambo ili kupata tija ya kile anachokifanya ndivyo ilivyo katika uzalishaji wa mali kupitia kilimo ambapo wapo wakulima wamekuwa wakilima mazao kwa ajili ya biashara aua chakula. Na Hobokela Lwinga Wakulima na wafanyabiashara wa mazao…
6 February 2024, 10:54
Na mwandishi wetu Tathmini ya matokeo ya Mtihani wa taifa kidato cha pili na nne kwa mwaka 2023 imefanyika leo tarehe 2.2.2024 uliwakutanisha Viongozi kutoka idara ya elimu, wakuu wa shule za sekondari 45 Maafisa elimu kata kutoka katika kata…
5 February 2024, 13:29
Watoto wenye mahitaji maalumu katika shule ya msingi Nengo iliyoko wilayani Kibondo Mkoani Kigoma wanakabiliwa na changamoto mbali mbali ikiwemo uhitaji wa taulo za kike hasa kwa wasichana hali ambayo wakati mwingine hupelekea kukosa masomo darasani. James Jovin ana maelezo zaidi.