Dodoma FM

sekondary

11 October 2023, 9:43 am

Serikali kuendelea kushirikiana na wadau binafsi kuboresha elimu

Serikali itaendelea kushirikiana kwa karibu na Taasisi binafsi katika kuboresha Mfumo wa Elimu nchini. Na Thadei Tesha. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda  amesema Serikali itaendelea kushirikiana kwa karibu na Taasisi binafsi katika kuboresha Mfumo wa…

20 September 2023, 2:04 pm

Wazazi watakiwa kufahamu umuhimu wa maktaba kwa mtoto

Maktaba ni moja ya Taasisi inayosaidia katika kuchochea maendeleo ya mtoto pindi awapo shuleni na nyumbani. Na Khadija Ayoub. Ili kuchochea maendeleo ya mtoto shuleni wazazi wametakiwa kuwa na utaratibu wa kuwajengea watoto wao desturi pamoja na namna bora ya…

15 September 2023, 7:12 am

Zaidi ya wananchi 1500 wafikiwa na elimu ya malezi

Program jumuishi ya malezi, makunzi na maendeleo ya awali ya mtoto ilizinduliwa mwaka 2021 na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ambapo wadau mbalimbali wanatekeleza program hiyo. Na Mariam Matundu. Zaidi ya wananchi elfu moja na…

7 September 2023, 1:56 pm

Madereva watakiwa kujaza mafuta gari ikiwa haina abiria

Je sheria hii imatambulika na imekuwa ikifuatwa na madereva wa vyombo vya moto hususani Magari ya abiria. Na Thadei Tesha. Madereva wa vyombo vya moto wametakiwa kutambua kuwa ni  kosa kisheria kujaza Gari mafuta na abiria wakiwa ndani ya gari.…

30 August 2023, 3:12 pm

Elimu ya usalama barabarani yaendelea kutolewa kwa wananchi

Ili kupunguza vitendo vya ajali za Mara kwa mara madereva na watumiaji wa barabara kwa ujumla wameendelea kuaswa kuzingatia sheria za usalama barabarani . Na Thadei Tesha. Ili kupunguza ajali za barabarani zinazoweza kusabababishwa na uzembe pamoja na kutokutii sheria…

10 August 2023, 1:20 pm

Wazazi watakiwa kuwapatia haki ya elimu watoto wenye ulemavu

Ingawa malengo ya maendeleo endelevu yanahimiza kuwa hakuna mtoto anayepaswa kuachwa nyuma lakini utafiti uliofanywa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumiwa Watoto UNICEF 2022 unaonesha kuwa kati ya watoto milioni 240 wenye ulemavu duniani nusu hawajawahi kuhudhuria shuleni.…