Dodoma FM
Dodoma FM
24 November 2025, 10:04 pm
Wananchi wanakumbushwa kudumisha uhifadhi wa mazingira huku wakichukua hatua za kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa. Na Joyce Buganda Nuru FM imekuandalia makala fupi kuhusu mkakati wa serikali mkoani Iringa wenye lengo la kuwaunganisha wananchi katika mifumo na miradi…
16 November 2025, 15:37 pm
Wafanyabiashara wa Mtwara wamelalamikia ongezeko la tozo na ushuru linalodaiwa kupandisha bei za bidhaa, huku wakitaka serikali kupitia upya kanuni hizo. Manispaa imesisitiza kuwa tozo zinatekelezwa kwa mujibu wa sheria na iko tayari kushughulikia malalamiko kupitia majadiliano Na Musa Mtepa…
16 November 2025, 15:23 pm
Manispaa ya Mtwara–Mikindani imetangaza mpango wa kutenga zaidi ya shilingi milioni 500 kwa ajili ya kuboresha Soko Kuu la Mtwara, ikilenga kuboresha miundombinu na mazingira ya biashara huku wafanyabiashara wakiyakaribisha maboresho hayo na kuomba kupewa kipaumbele baada ya ujenzi kukamilika…
16 November 2025, 10:08 am
Mkuu wa Wilaya Abdala Mwaipaya amesisitiza uwajibikaji huo kwenye mkutano wa WABISOKO na kuwapongeza wafanyabiashara kwa kudumisha amani na kuwasilisha changamoto zao kwa utulivu. Makamu Mwenyekiti Rashidi Johana amewasilisha maendeleo na changamoto za ushirika. Na Musa Mtepa Wajasiriamali wametakiwa kutimiza…
11 November 2025, 4:55 pm
Mkandarasi wa mradi huo hatapewa muda wa nyongeza baada ya siku 100 kukamiliza mapema mwezi wa pili mwaka kesho. Na Mrisho Sadick: Wananchi wa Mtaa wa Mwatulole Manispaa ya Geita Mkoani Geita wameiomba serikali kuendelea kumsukuma mkandarasi anayetekeleza mradi wa…
27 October 2025, 4:13 pm
Sikiliza hoja zenye kutafakalisha, simulizi za kweli, na sauti zinazovunja ukimya kuhusu ushiriki wa wanawake kwenye maamuzi ya nchi. Na Dina Shambe na Edward Lucas Katika kipindi hiki maalumu cha Redio Mazingira FM ,wachambuzi wa masuala ya kijamii,Viongozi wanawake,na wananchi…
25 October 2025, 14:45 pm
Vikundi kumi vya jogging Mtwara Mikindani vimeshiriki mbio fupi kuhamasisha ushiriki wa wananchi katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025, zikiwa na kaulimbiu “Mazoezi kwa Afya, Uchaguzi wa Amani ni Msingi wa Maendeleo.” Na Musa Mtepa MTWARA-Vikundi kumi vya jogging kutoka…
21 October 2025, 8:08 am
“Kufuatia matokeo hayo wamiliki wa vyombo vya habari wanahitaji kuongeza juhudi zaidi katika kufikia mkakati wa serikali unaolenga kuwa na 50% ya uwakilishi sawa kwenye vyombo vya maamuzi ikiwemo Bunge na Baraza la wawakilishi kwa upande wa Zanzibar kwa kuruhusu…
October 20, 2025, 9:30 pm
”Hakuna jasho la Mtu linalotumika bure kama wananchi watachagua viongozi wanaotoa rushwa viongozi hao watakaposhinda watatumia muda wao mwingi kurejesha fedha walizotumia kuhonga wananchi hivyo huduma za kijamii kuwa duni”William Eliyau ambae ni Mchunguzi kutoka tasisi ya kuzuia na kupambana…
19 October 2025, 4:25 pm
Na Adelinus Banenwa Kipindi kinahusu kutoa elimu kwa jamii inayotekeleza mila ya ukeketaji kwa akinamama na mabinti juu ya madhara ya kiafya kijamii na kimaendeleo watakayoyapata pindi wanapofanyiwa mila hiyo. Lakini pia kinaonesha umuhimu wa dhamira ya mila hizo, hivyo…