Dodoma FM

mazingira

15 April 2021, 12:23 pm

Vijana wanufaika na Elimu ya usafi

Na; Mindi Joseph Jumla ya vijana elfu arobaini na nane Nchini wametajwa kunufaika na  elimu ya usafi inayotolewa na  Taasisi ya Raleigh Tanzania kupitia mradi wa vijana na mabadiliko chanya kitabia juu ya usafi. Akizungumza na Taswira ya habari mratibu wa…

2 March 2021, 1:07 pm

Wananchi Hombolo Makulu walia na fidia ndogo

Na, Alfred Bulahya, Dodoma. Wananchi wa mtaa wa Mkoyo Makulu Kata ya Hombolo Bwawani wameiomba Serikali, kuwaongezea pesa za fidia zinazotolewa kwa ajili ya kupisha upanuzi wa eneo la hifanyi ya Kinyami iliyopo Kijijini hapo. Hatua hiyo inakuja wakati wananchi…

19 February 2021, 2:58 pm

RALEIGH:Vijana tumieni mitandao kuhamasisha utunzaji wa mazingira

Na, Benard Filbert, Dodoma. Vijana wameshauriwa kutumia teknolojia ya uwepo wa mitandao ya kijamii katika kuhamasisha utunzaji wa mazingira ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. Akizungumza na taswira ya habari afisa mazingira kutoka jumuiya ya vijana RALEIGH ambayo inajihusisha…

11 February 2021, 2:00 pm

Wasiolipa ada ya usafi jijini Dodoma kukiona

Na,Yusuph Hans, Dodoma. Halmashauri ya jiji la Dodoma imeelezea baadhi ya adabu anazoweza kupewa mwananchi au kaya ambayo haitaki kulipa ada ya uzoaji taka, inayokusanywa kutokana na huduma hiyo kutolewa kila wiki. Akizungumza na Taswira ya Habari afisa afya wa…

5 February 2021, 4:19 pm

Chupa zenye haja ndogo zatupwa hovyo mitaani

Na,Yusuph Hans, Dodoma. Wakazi wa Maeneo mbalimbali Mkoani Dodoma wamelalamikia tabia ya baadhi ya madereva wa daladala kujisaidia haja ndogo kwenye chupa za vinywaji na kuzitupa hovyo Mitaani. Wakizungumza kwa nyakati tofauti na Taswira ya Habari baadhi ya wakazi hao…

2 February 2021, 8:25 am

Mbadala wa vifungashio visivyotakiwa kupatikana

Na,Mariam Matundu, Dodoma. Kufuatia tamko la Waziri wa nchi Ofisi ya makamu wa rais Muungano na mazingira Mh.Ummy Mwalimu la Januari 8 mwaka huu kutoa muda wa miezi 3 kuhakikisha vifungashio vinavyotumika kufungia bidhaa sokoni havitumiki , watendaji wameanza kutoa…