Dodoma FM

mazingira

31 May 2021, 12:54 pm

Mrundikano wa taka wahatarisha maisha ya wakazi wa Ilazo

Na; Shani Nicolous. Wakazi wa mtaa wa Ilazo kati kata ya Ipagala jijini Dodoma wamelalamikia ucheleweshwaji wa uondoshaji wa taka takika mazingira yao hali inayosababisha kuzagaa kwa uchafu mtaani. Wakizungumza na Dodoma fm wakazi hao wamesema kuwa kuna wakati taka…

29 May 2021, 3:29 pm

Halmashauri zaagizwa kupanda miti Milioni moja na laki tano

Na; Mindi Joseph. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh.Seleman Jafo ameziagiza Halmshauri zote nchini kupanda miti isiyopungua Milioni moja na laki tano kila mwaka ili kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Waziri Jafo ametoa maagizo…

24 May 2021, 1:54 pm

Uharibifu wa mazingira ni chanzo cha mabadiliko ya tabia Nchi

Na;Mindi Joseph . Uharibifu wa mazingira nchini umetajwa kuchangia kuongezeka kwa mabadiliko ya tabia nchi hali ambayo imepelekea   kiwango cha maji kuzidi kuongezeka Nchini Tanzania. Akizungumza jijini Dodoma leo Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh.Selemani Said Jafo…

21 April 2021, 10:04 am

NEMC yafanya operesheni vifungashio visivyo na ubora.

Na; Mindi Joseph. Baraza la  Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Kanda ya Kati Dodoma limefanya operesheni ya ukaguzi wa vifungashio visivyokidhi ubora sokoni na kukamata vifungashio takribani kilo 125 na kuvitaifisha. Akizungumza na taswira ya Habari baada ya kufanya ukaguzi huo…

19 April 2021, 12:19 pm

Ushirikiano watakiwa kukomesha wizi wa maji Dodoma

Na; Benard Filbert. Wenyeviti wa mitaa katika jiji la Dodoma wametakiwa kutoa ushirikiano kwa mamlaka ya maji DUWASA ikiwepo kutoa taarifa za watu wanaojiunganishia maji kinyume na sheria. Hayo yanajiri kufuatia agizo la mkuu wa Mkoa Dkt.Binilith Mahenge alilolitoa hivi…