Dodoma FM

Maji

29 May 2025, 2:18 pm

Bweni la Machame sekondari kukamilika ndani ya siku 19

Pichani ni bweni la shule wa wasichana Machame sekondari likiwa katika hatua za mwisho za ujenzi(picha na Faraja Ulomi) Serikali imeendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wananfunzi kote na nchini,hii inaadhihirika wazi kutokana na miradi mbalimbali ya ujenzi inayoendelea huko mashuleni…

20 May 2025, 5:08 pm

UVCCM Maswa kuwaunga mkono vijana uchaguzi mkuu

‘‘Vijana ni nguvu kazi ya taifa hili hatupaswi kabisa kuwa tunalalamika kulingana na viongozi wetu ambao tuliwaamini tukawapa kura za kuwa wawakilishi wetu kwenye vyombo vya maamuzi kwa sheria za nchi hii unaruhusiwa kugombea udiwani,ubunge kuanzia miaka 21 hivyo vijana…

20 May 2025, 3:24 pm

Wakazi Chinugulu watembea umbali mrefu kutafuta maji

Aidha  umbali uliopo kutoka Kijiji cha Chinugulu mpaka mto Kizito ambako ndipo maji yanapatikana ni hatari kwa wananchi kwani mto huo unatumiwa pia na wanyama waliopo katika hifadhi ya wanyama ya  Ruaha. Na Victor Chigwada. Imeelezwa kuwa umbali wa zaidi…

18 May 2025, 10:38 am

Wahitimu VETA watakiwa kuleta mabadiliko kwa jamii

Mkuu wa wilaya ya Moshi Mkoani kilimanjaro Godfrey Mzanva akihutubia wakati wa mahafali ya 40 ya chuo cha VETA Mkoani Kilimanjaro (Picha na Furaha Hamad) Mkuu wa wilaya ya Moshi Godfrey Mzanva ameshiriki mahafali ya 40 ya chuo cha VETA…

16 May 2025, 12:50 pm

CRDB yakabidhi darasa kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum

Crdb bank wilayani Hai mkoani Kilimanjaro yajenga darasa moja la wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika shule ya Msingi Uswaa lenye thamani ya Shilingi Millioni 25 ,hafla ya makabidhiano yafanyika. Na Henry keto .Hai-Kilimanjaro Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Mhe.Nurdin Babu…

May 12, 2025, 7:37 pm

Mapishi ya mwanaume kuondoa utapiamlo katika familia

“Wanaume simamieni chakula katika familia ili watoto wenu wawe na afya bora kwa sababu watoto wanakua kila siku  na wanahitaji kula chakula chenye virutubishi vyote ili wakue vizuri” Amesema Kimambo. Na: Paulina Majaliwa Wanaume katika Halmashauri ya Mji Kasulu wameshauriwa…

12 May 2025, 11:55 am

Shule ya msingi Kware yapokea madawati mia moja

Halmashauri ya wilaya ya Hai imetoa madawati mia moja kwa ajili ya shule ya msingi Kware yenye thamani ya shilingi milioni kumi. Na Henry Keto. Hai -Kilimanjaro Afisa mtendaji wa Kijiji cha Kware Edwin Lamtey ametoa wito kwa jamii, waalimu,…

8 May 2025, 7:33 pm

SMAUJATA wilaya ya Ruangwa kuanza ziara za kata kwa kata

“tumeazimia kuongeza nguvu katika usajili wa wanachama wapya ambapo Mpango huu unalenga kuongeza idadi ya wanachama wa SMAUJATA na kuhakikisha kuwa vijana wengi zaidi wanajumuishwa katika shughuli za maendeleo ya kijamii na uhamasishaji wa haki na usawa” Na Mwandishi wetu…

May 7, 2025, 12:46 pm

Wanandoa watakiwa kuvumiliana

Malengo ni kupunguza ndoa kuvunjika Na Pili Mwang’osi TAASISI zinazofungisha ndoa Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, zimewataka wanandoa hususan vijana kuwa wavumilivu ili kupunguza wimbi la ndoa kuvunjika. Ofisa Tarafa ya Vwawa, Wilaya ya Mbozi, Edward Lugongo , ametoa wito…